Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
matoto mengine yanatunzwaaaa du moaka raha
Raha gani ya kutembea na kinyesi ndani ya pampers !!? ---
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matoto mengine yanatunzwaaaa du moaka raha
Angalia mtoto wako huwa anapata haja mida gani.
Ikifika mida mida hiyo mkalishe kwenye potty ikiwekekana umwekee cartoon au uimbe nae nyimbo za nursery.
Akiweza kutoa Haja kwenye potty mke zawadi. Makofi yanatosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chapa fimbo swalehe alkua na huo ujinga anakojoa kwenye sink
nlichapa sana hadi akaanza kujitetea eti ooh baba naaga Dunia [emoji23]
Baba Swalehe muhuni sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kuogopa haja yake nakumbuka niliona pia kwa mdogo wangu
Endelea kumbembeleza hivyo hivyo taratibu atakuja kukubali. Mpe mdaHello wanajamvi
Naomba ushauri kwenye hili: Nipo kwenye malezi ya mtoto wa miezi 14, kwa bahati mbaya huyu mtoto amekuwa akitumia diapers (pampers) tangu kuzaliwa kwake hadi hivi sasa.
Kwa muda wote huo amekuwa akijisaidia kwenye hizo diapers. Muda ulipofika wa kumfundisha kutumia pot au kukaa miguuni hataki kabisa, tena hata ile haja ya kutaka kujiasaidia huwa inakatika. Ukimuacha na nguo za kawaida, akijinyea analia na anaogopa sana mavi yake.
Je ni kweli its too late? Tufanyeje aweze kuzoea potty na kutoogopa mavi yake mwenyewe? Maoni please
Nawakilisha
Mimi nawashangaa sana, hivi wewe huogopi haja??, hivi ni nani anayependa kinyesi??!!🤣.
Wewe unaweza kukaa na kinyesi??.
Huyo mdogo wako lazima hivi sasa ni more intelligent than you, presumebly.
🤣
hii quote uneikutakwa mademe S kamzesha pot tangu akiwa na miez mitatu sio kispotRaha gani ya kutembea na kinyesi ndani ya pampers !!? ---
Hii ya kuogopa haja yake nakumbuka niliona pia kwa mdogo wangu
Mimi nawashangaa sana, hivi wewe huogopi haja??, hivi ni nani anayependa kinyesi??!!🤣.
Wewe unaweza kukaa na kinyesi??.
Huyo mdogo wako lazima hivi sasa ni more intelligent than you, presumebly.
🤣
Kumbe unajua kuulizaHiyo Uliona kwa mdogo wako, swali ni; je mama yako hakukuambia na wewe ulikuwa ukiogopa n'nyaa yako ulipokuwa mdogo kama huyo mdogo wako??!!--- point ipo hapo.
Kumbe unajua kuuliza
Siku nyingine uwe na utaratibu wa kuuliza kwanza kabla hujakurupuka ku-assume unachoamini na kuleta ujuaji wa kijinga
Unaposema uliona kwa mdogo wako sasa kwako ilikuwa vipi??.
Unaposema, mfano, mdogo wako alikuwa mwizi alipokuwa mdogo, most likely wewe hukuwa mwizi ulipokuwa mdogo. Use yiur common sense young lady.🤣
Siku nyingine uwe na utaratibu wa kuuliza kwanza kabla hujakurupuka ku-assume unachoamini na kuleta ujuaji wa kijinga
Endelea kumlazimisha ajifunze kutumia pot hata akilia mlazimishe hivyohivyo baadaye atazoeaHello wanajamvi
Naomba ushauri kwenye hili: Nipo kwenye malezi ya mtoto wa miezi 14, kwa bahati mbaya huyu mtoto amekuwa akitumia diapers (pampers) tangu kuzaliwa kwake hadi hivi sasa.
Kwa muda wote huo amekuwa akijisaidia kwenye hizo diapers. Muda ulipofika wa kumfundisha kutumia pot au kukaa miguuni hataki kabisa, tena hata ile haja ya kutaka kujiasaidia huwa inakatika. Ukimuacha na nguo za kawaida, akijinyea analia na anaogopa sana mavi yake.
Je ni kweli its too late? Tufanyeje aweze kuzoea potty na kutoogopa mavi yake mwenyewe? Maoni please
Nawakilisha
[emoji38][emoji38]nitatia neno PMni mazoea tu mbadilishieni pampers avae wakat wa kulala tu na safari
mama ahakiishe mtoto akiamka tu asubh unapanga either kwenye miguu au kwenye pot akshiba tu apangwe asiwe mvivu itasaidia kidogo
wangu yuko na six months lakini akishikwa na haja anahangaika mpaka nimpange akijisaidia tu anakua sawa na nilianza hivo tangu yuko na three months
Jamani mamdogo umenisusa hata kunisalimu
Zingatia huu ushauri tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ya kuogopa haja yake nakumbuka niliona pia kwa mdogo wangu
Hahaahhaha alikuwa akijisaidia kama hakuna tissue atalia hadi apate wa kumsafisha,utoto bhana!!....yani alikuwa anaona sio haki kushika haja yake mwenyewe,lakini mwingine ndio ana haki ya kushika![emoji23][emoji23]
Sijui walikuja kumsaidia kwa namna gani lakini nafikiri ni suala la utoto,kadri atakavyozidi kukua atabadilika
Endeleeni kumuweka kwenye potty,atazoea labda
Pole mwanangu, tatizo nilikuwa sikuoni, hujambo lakiniJamani mamdogo umenisusa hata kunisalimu
Hafu unasema mimi mhuni
nalia mimi jamani
Jibu swali hili; je wewe ulipokuwa mtoto ulikuwa huogopi au unaogopa kinyesi chako???
watoto bhana mi nawaweza sana wana mambo ya ajabu, Swalehe enzi hizo nmembeba fresh tu unakuta anaanza kulia namshusha chini na mimi naanza kulia zaidi yake, naigiza lakini nalia wee tena kwa sauti kubwa unakuta kimenyamaza kina anza kunishika macho au mdomo kama kinanibembeleza mchezo Usha badilika 😂Hii ya kuogopa haja yake nakumbuka niliona pia kwa mdogo wangu
Hahaahhaha alikuwa akijisaidia kama hakuna tissue atalia hadi apate wa kumsafisha,utoto bhana!!....yani alikuwa anaona sio haki kushika haja yake mwenyewe,lakini mwingine ndio ana haki ya kushika!😂😂
Sijui walikuja kumsaidia kwa namna gani lakini nafikiri ni suala la utoto,kadri atakavyozidi kukua atabadilika
Endeleeni kumuweka kwenye potty,atazoea labda