mens legis
Senior Member
- Dec 12, 2016
- 142
- 86
Ngoja nikurudishe darasani mkubwa kuna kitu kinaitwa Strict liability haya ni makosa ambayo hayahitaji kuthibitisha mens rea (nia ovu) Actus Reus tu inatosha mtu kushitakiwa/kutiwa hatiani na makosa ya usalama barabarani yana angukia hapoUkikosa Mens rea& Actus Rea katika Scenario yoyote ile ni ngumu ku establish bases ya case theme yako.? Kukiwa na state of mind na Kitendo kilichofanya kosa liwepo ni Easy kuanzisha investigation ya such an offence
DEREVA KAPAKI GARI KASEPA ZAKE YEYE DOGO KAJIPIGA KWENYE GARI LIKIWA NDANI HAKUNA DEREVA HAPO INAKUAJE MAHAKAMA YA NINI?
Kesi hipo! Yawezekana jamaa alipaki sehemu hisiyoruhusiwa,! Mahakama ndio itaamua, kama kuna jinai imetendeka au la!Kama wazazi wa mtoto hawataki kesi iendelee nadhani hata ikienda mahakamani hao wazazi wanaweza kuwithdraw kesi. ( Not sure though)
Lakini pia nafikiri Jamhuri itataka kujua hapo ulipokuwa umepata gari ni salama, panaruhusiwa?
Lakini pia wahusishe insurance ili wakupe legal view Incase hao wazazi wakiamua wanataka fidia.
Hapo ambae hajakuelewa anataka tu ubishi au anatakakuelewa zaidi.Police wanayo haki kisheria kupeleka hiyo kesi mahakamani. Wao wanachotakiwa kufanya ni kufanya upelelezi wa kilichotokea, ilikuwaje mtoto ambaye siyo 'udongo' ajigonge tu na kufa!?
Lazima wachunguze je huyu mtoto hakugongwa na mwenye gari? Wazazi hawajapewa rushwa kweli kupotezea haki ya uhai wa mtoto!? Na kikubwa zaidi polisi watachunguza kubaini uwepo wa jinai kwenye hicho kifo. Ni kazi ya serikali kulinda usalama wa raia na mali zao, hivyo basi si kazi ya mzazi kujifanya eti yeye hataki kesi! HANA MAMLAKA HAYO, HIYO NI KESI YA JAMHURI NA DEREVA WA GARI HUSIKA.
Hivyo basi polisi wakipata ushshidi wanaotaka, wakibaini kuna kesi ya msingi, ngoma inapelekwa Mahakamani. Huko ndipo dereva utaelezea vizuri gari yako huwa unaipaki vipi kiasi kwamba binadamu akijigonga tu anakufa hapohapo.
Hapo ambae hajakuelewa anataka tu ubishi au anatakakuelewa zaidi.
Kelesya: in other way around, vipi kama umempeleka mtuhumiwa police kwa kosa la jinai alafu mpelelezi anachukuwa muda mrefu kupeleleza na hawasiliani na mlalamikaji zaidi ya wiki mbili je, upelelezi anaufanya mwenyewe bila kumshirikisha mlalamikaji ambae atakuwa kama shahidi mahakamani?, na je, kunamuda maalum ambao mpelelezi ni lazma awe amepeleka kesi mahakamani?. Tafadhali.
Sema ukweli pia umegharamia mazishi kwa kutoa jeneza, sanda, chakula msibani na pengine ulishiriki matibabu. Hiyo ni takrima.Mtoto ameumia kwa ajali ya gari kwa kujigonga ubavuni gari imepaki. Bahati mbaya amekufa. Wazazi wanasema hatutaki kesi ni kosa la mtoto. Polisi wamekomaa wanataka wapeleke mahakamani. Je sheria inasemaje wadau
Bwana tembe za kidonge buana, Asprin, tambua kuna makosa ya dereva na makosa ya mmiliki. Wrong parking kwa mfano ni la dereva, lkn gari chakavu lenye tetenasi ni mwenye gari[emoji3] [emoji3]Dereva yupi wakati gari limepaki??? Nilidhani itakuwa kesi ya Jamhuri Vs Mwenye gari.
Hata kama siyo kweli, kesi za traffic ni upuuzi mtupu. Hata akishindwa kesi, faini kubwa ni tsh. 50,000/-Kama maelezo yako ni kweli basi utashinda kesi...ondoa hofu
kwakuwa mtoto kajigonga kama ambavyo angeanguka chooni ama kujigonga ukutani
Kuna kipindi tunawachukia polisi kwa kutokujua kwetu. Yaani mtu haamini kama kesi kwenda mahakamani ni kumsafisha yeye mwenyewe asionekane alisababisha kifo hicho. Ujinga ni mzigoHaya mambo yanahitaji upelelezi usikurupuke kutoa majibu mapesi kama hujui haudhuriki ukikaa kimya hiyo ni ajali kama ajali zingine hata kama kajigonga mwili wa marehemu lazima ufanyiwe uchunguzi hivyo lazima jalada la uchunguzi lifunguliwe pia yawezekana hata gari lilipaki eneo lisilo stahili acha kesi ifunguliwe ili kupata ukweli na huo ndo utaratibu
Naomba sabuni ya omo ya mia na dawa mangiWahi wewe mahakamani ushitaki Gari lako kugongwa na Mtoto mpaka akafa.
Kwanini Agonge Gari lako?
Mkuu andika kiswahili, unanichanganya. Hivi neno 'ipo' na 'hipo' ni sawa? Hafu unakuta ni watu wa pwani ndo wanaandika hiviKesi hipo! Yawezekana jamaa alipaki sehemu hisiyoruhusiwa,! Mahakama ndio itaamua, kama kuna jinai imetendeka au la!
Ushahidi ukikamilika ndio kesi inaenda mahakamani. Kama kesi haidhaminiki polisi, kesi inaweza pelekwa mahakamani, halafu ikawa inatajwa huku wanasema ushahidi bado kukamilika. Hakuna muda maalumu wa kukamilisha ushahidiHapo ambae hajakuelewa anataka tu ubishi au anatakakuelewa zaidi.
Kelesya: in other way around, vipi kama umempeleka mtuhumiwa police kwa kosa la jinai alafu mpelelezi anachukuwa muda mrefu kupeleleza na hawasiliani na mlalamikaji zaidi ya wiki mbili je, upelelezi anaufanya mwenyewe bila kumshirikisha mlalamikaji ambae atakuwa kama shahidi mahakamani?, na je, kunamuda maalum ambao mpelelezi ni lazma awe amepeleka kesi mahakamani?. Tafadhali.
Usiusishe watu wa pwani na uandishi wa ajabu,pia usiusiche watu wote.Mkuu andika kiswahili, unanichanganya. Hivi neno 'ipo' na 'hipo' ni sawa? Hafu unakuta ni watu wa pwani ndo wanaandika hivi
Asante kalesya, nimekupata vizuri sana.Hapo kuna tatizo (uzembe au rushwa kwa mpelelezi wa kesi). Kama mtuhumiwa anajulikana na ameshitakiwa na mlalamikaji, na mlalamikaji ushahidi na mashahidi wengine upo/wapo. Na kosa likaonekana ni jinai kweli kinyume na vifungu vya Sheria za makosa ya jinai inapaswa mtuhumiwa afikishwe Mahakamani haraka sana.
Haiwezekani katika hali ya kawaida mpelelezi kufanya upelelezi bila kuwasiliana na mlalamikaji ambaye "ndiye shahidi namba moja wa upande wa mashitaka/Jamhuri! Hawa wawili ni lazima washirikiane kuweka ushahidi sawa na kurahisisha kesi yao.
Mpelelezi, Mwendesha mashitaka na Mlalamikaji hawa wote ni team moja ya "mashitaka/prosecution.
Uzuri ni kwamba kesi ya jinai haifi, hata ikae muda gani. Onana na viongozi wa huyo mpelelezi uwaeleze tatizo la ucheleweshaji unaofanyika. Na ikibidi wakupangie mpelelezi mwingine ili kesi iende Mahakamani. Jamhuri ikishinda kesi ya jinai na wewe utaweza kufungua kesi ya madai kwa hasara na madhara uliyopata kutokana na jinai husika.
Usiusishe watu wa pwani na uandishi wa ajabu,pia #usiusiche# watu wote.