NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 347
- 432
Habari wana jf ,
Kwa anayejua anaweza kunisaidia,. Kuna mtoto wa dada yangu ni mtoto wa kiume kafikisha miezi 5 sasa .
Lakini amekataa kukaa, ukijaribu kumkalisha kwa njia mbali mbali lakini amekuwa akilia sana ,na kukataa kukaa yeye analala tu
Kwa anayejua matatizo ayo yanaweza kuwa endelevu au ni la muda na atakaa tu kadiri muda unavyoenda.
Na kama ni tatizo aliwezi kumpelekea kupata ulemavu .
Asante