Msaada mtoto kakataa kukaa

Msaada mtoto kakataa kukaa

NITAKUKAMATA TU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
347
Reaction score
432
Habari wana jf ,
Kwa anayejua anaweza kunisaidia,. Kuna mtoto wa dada yangu ni mtoto wa kiume kafikisha miezi 5 sasa .
Lakini amekataa kukaa, ukijaribu kumkalisha kwa njia mbali mbali lakini amekuwa akilia sana ,na kukataa kukaa yeye analala tu

Kwa anayejua matatizo ayo yanaweza kuwa endelevu au ni la muda na atakaa tu kadiri muda unavyoenda.

Na kama ni tatizo aliwezi kumpelekea kupata ulemavu .

Asante
 
Ulipo hapo chukua chombo chochote cha usafiri nenda kwa wataalam hospital watakueleza. Fanya hivyo sasa
 
Habari wana jf ,
Kwa anayejua anaweza kunisaidia,. Kuna mtoto wa dada yangu ni mtoto wa kiume kafikisha miezi 5 sasa .
Lakini amekataa kukaa, ukijaribu kumkalisha kwa njia mbali mbali lakini amekuwa akilia sana ,na kukataa kukaa yeye analala tu

Kwa anayejua matatizo ayo yanaweza kuwa endelevu au ni la muda na atakaa tu kadiri muda unavyoenda.

Na kama ni tatizo aliwezi kumpelekea kupata ulemavu .

Asante
Habari!
Kitu cha msingi na kuzingatia ni kuwa zoezi hili ni process/linafuata utaratibu/milestone.

Kila hatua ya makuzi ya mtoto una wastani wa muda kuweza kufikia kiwango chake, richa ya hivyo bado kuna kuwahi au kuxhelewa kulingana na sababu mbalimbali:
1: Uimarishwaji misuli ya mgongo ambayo husaidia kwenye kukaa.
2: Lishe
3: Uoga uliopitiliza
4: Experience yake ya kwanza alipojaribu kufanya hivyo.
5: Uzito wa mtoto
6: Kuzaliwa na kasoro nk.

NB: Haya ni baadhi ya mambo ambayo kuweza kufanya watoto wa kike au kiume kupata uwezo zaidi kwa baadhi ya maendeleo katika ukuaji.
Hivyo ni vyema kufika kwa mtaalamu wa afya ili mtoto aonwe na upate ushauri kulingana na hali ua mtoto husika. Pediatrician/daktari bingwa wa watoto ni muhimu kama una uwezo wa kumpata kwa eneo husika.
 
Back
Top Bottom