Msaada: Mtoto kufunga choo

Msaada: Mtoto kufunga choo

mchakavumlasana

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
389
Reaction score
212
Habari,

Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi.

Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali wamempa infacol tu naona haijasaidia. Maji ya uvuguvugu nayo hayajasaidia.

Naombeni mbinu mbadala.

Cheers
 
Hajapata Choo muda gani? Sijui ni kawaida am not sure lakini, mwanangu alikua anakaa 4 hadi 6 days bila kupupu na sikuwahi kumpa chochote na hiyo hali ikaisha yenyewe tu pole
 
Habari.

Naombeni Mbinu mbadala.

Cheers
Unaishi mji gani? by the way kuna madaktari bingwa wa watoto ndio wanadeal nao.
 
Hajapata Choo muda gani? Sijui ni kawaida am not sure lakini, mwanangu alikua anakaa 4 hadi 6 days bila kupupu na sikuwahi kumpa chochote na hiyo hali ikaisha yenyewe tu pole
:bump2:
 
Ayaaaaaaa,kumbe umeshatobolewa jamani...... Mweeeeeeee.
 
Habari.
Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi.

Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali wamempa infacol tu naona haijasaidia. Maji ya uvuguvugu nayo hayajasaidia.

Naombeni Mbinu mbadala.

Cheers

Wa umri gani? Mkamulie chungwa na umpe vijiko hata vijiko viwili au vitatu. kisha utupe mrejesho kesho
 
Mbona unahangaika mkuu unaweza pata dawa ikamsaidia lkn tatizo litarejea palepale mpaka avuke miezi mitatu ndio hupata choo marakwamara
 
Habari.
Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi.

Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali wamempa infacol tu naona haijasaidia. Maji ya uvuguvugu nayo hayajasaidia.

Naombeni Mbinu mbadala.

Cheers

Evelyn Salt ameongea jambo la maana na lizingatie, watoto wa umri huokufunga choo kwa siku 3-5 mara nyingi ni kawaida (kaa hakuna tatizo lingine). Ikizidi hapo waone madaktari. Kuna wengine hua wanawapa mafuta ya samaki!
 
Last edited by a moderator:
Wa umri gani? Mkamulie chungwa na umpe vijiko hata vijiko viwili au vitatu. kisha utupe mrejesho kesho
Umri umeshatajwa hapo juu,ana wiki-3. Ushauri wako haufai hata km angekuwa na miezi 3. Mtoto wa umri chini ya miezi 6 haruhusiwi kutumia chochote zaidi ya maziwa ya mama!
 
Kawaida sana, ningeshangaa kama angekuwa anapupu kila siku kumbuka maziwa ya mama yana taka kidogo sana kiasi kwamba kujikusanya mpaka kuipata choo ya kutoka inahitaji muda
 
Nadhani ni hali ya kawaida wangu alikuwa anakaa siku 3 bila choo..ila akisha kunywa maziwa baada kama dak40 au akiwa kabla ajanyonya mpatie maji ya uvuguvugu anywe..nivizuri kumpa maji kabla ya kunyonya akiwa na njaa maana atakunywa mengi..mpe mara 2 au mara 3 kwa siku.kama vijiko 5 kubwa vya maji.baada ya siku 3 atakuwa sawa.jiadhari kumpatia dawa mtoto akiwa chini ya miezi 6 haishauriwi..
 
Leo ni siku ya saba
Hospital walisema yupo ok ila naona kama anastruggle fulani hivi

Hajapata Choo muda gani? Sijui ni kawaida am not sure lakini, mwanangu alikua anakaa 4 hadi 6 days bila kupupu na sikuwahi kumpa chochote na hiyo hali ikaisha yenyewe tu pole
 
Maji ya uvuguvugu nampatia.

Nadhani ni hali ya kawaida wangu alikuwa anakaa siku 3 bila choo..ila akisha kunywa maziwa baada kama dak40 au akiwa kabla ajanyonya mpatie maji ya uvuguvugu anywe..nivizuri kumpa maji kabla ya kunyonya akiwa na njaa maana atakunywa mengi..mpe mara 2 au mara 3 kwa siku.kama vijiko 5 kubwa vya maji.baada ya siku 3 atakuwa sawa.jiadhari kumpatia dawa mtoto akiwa chini ya miezi 6 haishauriwi..
 
Evelyn Salt ameongea jambo la maana na lizingatie, watoto wa umri huokufunga choo kwa siku 3-5 mara nyingi ni kawaida (kaa hakuna tatizo lingine). Ikizidi hapo waone madaktari. Kuna wengine hua wanawapa mafuta ya samaki!

Asante kwa ushauri
 
Last edited by a moderator:
Ni kawaida, hakikisha baada ya kunyonya anacheua na uwe unamjambisha pia.

Akitoa gas itampunguzia maumivu ya tumbo.
 
Back
Top Bottom