mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
Habari,
Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi.
Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali wamempa infacol tu naona haijasaidia. Maji ya uvuguvugu nayo hayajasaidia.
Naombeni mbinu mbadala.
Cheers