mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
Unaishi mji gani? by the way kuna madaktari bingwa wa watoto ndio wanadeal nao.Habari.
Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi.
Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali wamempa infacol tu naona haijasaidia. Maji ya uvuguvugu nayo hayajasaidia.
Naombeni Mbinu mbadala.
Cheers
:bump2:Hajapata Choo muda gani? Sijui ni kawaida am not sure lakini, mwanangu alikua anakaa 4 hadi 6 days bila kupupu na sikuwahi kumpa chochote na hiyo hali ikaisha yenyewe tu pole
Ayaaaaaaa,kumbe umeshatobolewa jamani...... Mweeeeeeee.Hajapata Choo muda gani? Sijui ni kawaida am not sure lakini, mwanangu alikua anakaa 4 hadi 6 days bila kupupu na sikuwahi kumpa chochote na hiyo hali ikaisha yenyewe tu pole
Habari.
Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi.
Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali wamempa infacol tu naona haijasaidia. Maji ya uvuguvugu nayo hayajasaidia.
Naombeni Mbinu mbadala.
Cheers
Habari.
Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi.
Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali wamempa infacol tu naona haijasaidia. Maji ya uvuguvugu nayo hayajasaidia.
Naombeni Mbinu mbadala.
Cheers
Ayaaaaaaa,kumbe umeshatobolewa jamani...... Mweeeeeeee.
Wa umri gani? Mkamulie chungwa na umpe vijiko hata vijiko viwili au vitatu. kisha utupe mrejesho kesho
Habari.
Nimeileta hii humu maana jukwaa la madaktari huchukua muda kupata msaada wa haraka, na huku ndio kuna wadau wengi.
Akina mama mnafanyaje mtoto wa wiki tatu akifunga choo? Hospitali wamempa infacol tu naona haijasaidia. Maji ya uvuguvugu nayo hayajasaidia.
Naombeni Mbinu mbadala.
Cheers
Umri umeshatajwa hapo juu,ana wiki-3. Ushauri wako haufai hata km angekuwa na miezi 3. Mtoto wa umri chini ya miezi 6 haruhusiwi kutumia chochote zaidi ya maziwa ya mama!Wa umri gani? Mkamulie chungwa na umpe vijiko hata vijiko viwili au vitatu. kisha utupe mrejesho kesho
Nshatumia kaisiki mambo ni bam bam
Hajapata Choo muda gani? Sijui ni kawaida am not sure lakini, mwanangu alikua anakaa 4 hadi 6 days bila kupupu na sikuwahi kumpa chochote na hiyo hali ikaisha yenyewe tu pole
Nadhani ni hali ya kawaida wangu alikuwa anakaa siku 3 bila choo..ila akisha kunywa maziwa baada kama dak40 au akiwa kabla ajanyonya mpatie maji ya uvuguvugu anywe..nivizuri kumpa maji kabla ya kunyonya akiwa na njaa maana atakunywa mengi..mpe mara 2 au mara 3 kwa siku.kama vijiko 5 kubwa vya maji.baada ya siku 3 atakuwa sawa.jiadhari kumpatia dawa mtoto akiwa chini ya miezi 6 haishauriwi..
Evelyn Salt ameongea jambo la maana na lizingatie, watoto wa umri huokufunga choo kwa siku 3-5 mara nyingi ni kawaida (kaa hakuna tatizo lingine). Ikizidi hapo waone madaktari. Kuna wengine hua wanawapa mafuta ya samaki!