block tofali
New Member
- Sep 9, 2024
- 2
- 4
Si unaona mkuu hiyo ni malaria hata mwanangu ilikuwa hivyovyo, ungechelewa ingekuwa hatari sana si unajua Malaria hata mtu mzima inamuua asipopata tiba, ila ni jambo la kumshukuru Mungu kama wamegundua ana malaria, tunamtakia afya njema mwanaoMREJESHO:Kutokana na ushauri wenu,nilimpeleka mtoto hospitali tofauti na ile ya mwanzo.Wametumia BS badala ya MRDT test.Amekutwa na malaria 7.Ameshaanza dozi ya ALU.Nawashukuru sana.
Mungu awabariki sana.
Ahsante sanaSi unaona mkuu hiyo ni malaria hata mwanangu ilikuwa hivyovyo, ungechelewa ingekuwa hatari sana si unajua Malaria hata mtu mzima inamuua asipopata tiba, ila ni jambo la kumshukuru Mungu kama wamegundua ana malaria, tunamtakia afya njema mwanao
Nimeuzingatia ushauri wako.Wametumia BS amekutwa na malaria 7.Ahsanteni sana.yaweza kuwa malaria waambie watumie BS badala ya MRDT
Ahsante
Habarini wakuu.Poleni kwa majukumu.
Huyu mtoto alianza kuchemka(joto kupanda sana) jumamosi usiku wa septemba 7. Jumapili tulimpeleka zahanati akapimwa malaria, hamna. Dokta akasema itakuwa ni mafua tu labda ndio inayopandisha joto.
Tulipatiwa amoxylin, cetrizen na paracetamol.
Ila joto halijashuka kabisa tangu aanze kutumia dawa.Hapa shida inaweza kuwa nini wakuu?
NB:Mtoto hana maumivu ya kichwa.
Hajapoteza hamu ya kula, haisi kichefuchefu na hatapiki. Anacheza vizuri ila shida ni hili joto kupanda sana na halitaki kushuka.
Labda infection kwenye damu inapandisha homa sanaHabarini wakuu.Poleni kwa majukumu.
Huyu mtoto alianza kuchemka(joto kupanda sana) jumamosi usiku wa septemba 7. Jumapili tulimpeleka zahanati akapimwa malaria, hamna. Dokta akasema itakuwa ni mafua tu labda ndio inayopandisha joto.
Tulipatiwa amoxylin, cetrizen na paracetamol.
Ila joto halijashuka kabisa tangu aanze kutumia dawa.Hapa shida inaweza kuwa nini wakuu?
NB:Mtoto hana maumivu ya kichwa.
Hajapoteza hamu ya kula, haisi kichefuchefu na hatapiki. Anacheza vizuri ila shida ni hili joto kupanda sana na halitaki kushuka.
Nashauri, afanyiwe kipimo cha FULL BLOOD PICTURE na ESR pia. Huenda tukajuwa pa kuanzia.
Na je, alipo enda hospital alipimwa joto la mwili ? Na lilikuwa ni ngapi ???
Noted, and understood 👊🏾Habari chief?
Ni kweli mtoto alihitaji complete review, history, examination and investigations.
Kwa upande wa vipimo:
1: Chaguo zuri kwa FBP.
2: ESR kwa homa ya siku tatu(acute) tusitarajie mengi hapo, may be CRP inaweza kuwa best option.
3: Kwa kutegemea na kilichopatikana kule juu: Urine routine na Malaria ni srhemu ya vitu vya kuhusisha pia.