MSAADA: Mtoto wa miaka minne anachemka sana kwa siku tatu mfululizo. Hospitali alipimwa malaria, hana

MREJESHO:Kutokana na ushauri wenu,nilimpeleka mtoto hospitali tofauti na ile ya mwanzo.Wametumia BS badala ya MRDT test.Amekutwa na malaria 7.Ameshaanza dozi ya ALU.Nawashukuru sana.

Mungu awabariki sana.
Si unaona mkuu hiyo ni malaria hata mwanangu ilikuwa hivyovyo, ungechelewa ingekuwa hatari sana si unajua Malaria hata mtu mzima inamuua asipopata tiba, ila ni jambo la kumshukuru Mungu kama wamegundua ana malaria, tunamtakia afya njema mwanao
 
Ahsante sana
 
Habarini wakuu.Poleni kwa majukumu.

Huyu mtoto alianza kuchemka(joto kupanda sana) jumamosi usiku wa septemba 7. Jumapili tulimpeleka zahanati akapimwa malaria, hamna. Dokta akasema itakuwa ni mafua tu labda ndio inayopandisha joto.
Tulipatiwa amoxylin, cetrizen na paracetamol.

Ila joto halijashuka kabisa tangu aanze kutumia dawa.Hapa shida inaweza kuwa nini wakuu?

NB:Mtoto hana maumivu ya kichwa.

Hajapoteza hamu ya kula, haisi kichefuchefu na hatapiki. Anacheza vizuri ila shida ni hili joto kupanda sana na halitaki kushuka.

Anachemka kwenye mambo gani? Mimi sishangai kuna jamaa yangu ana miaka 39 hata dana dana ukimpa kupiga anachemka sana. Huyu demu wangu hata push up anachemka.

So usimpe mambo ambayo unajua ukimwambia afanye atachemka.
 
Habarini wakuu.Poleni kwa majukumu.

Huyu mtoto alianza kuchemka(joto kupanda sana) jumamosi usiku wa septemba 7. Jumapili tulimpeleka zahanati akapimwa malaria, hamna. Dokta akasema itakuwa ni mafua tu labda ndio inayopandisha joto.
Tulipatiwa amoxylin, cetrizen na paracetamol.

Ila joto halijashuka kabisa tangu aanze kutumia dawa.Hapa shida inaweza kuwa nini wakuu?

NB:Mtoto hana maumivu ya kichwa.

Hajapoteza hamu ya kula, haisi kichefuchefu na hatapiki. Anacheza vizuri ila shida ni hili joto kupanda sana na halitaki kushuka.
Labda infection kwenye damu inapandisha homa sana
 
Nashauri, afanyiwe kipimo cha FULL BLOOD PICTURE na ESR pia. Huenda tukajuwa pa kuanzia.

Na je, alipo enda hospital alipimwa joto la mwili ? Na lilikuwa ni ngapi ???

Habari chief?

Ni kweli mtoto alihitaji complete review, history, examination and investigations.
Kwa upande wa vipimo:

1: Chaguo zuri kwa FBP.

2: ESR kwa homa ya siku tatu(acute) tusitarajie mengi hapo, may be CRP inaweza kuwa best option.

3: Kwa kutegemea na kilichopatikana kule juu: Urine routine na Malaria ni srhemu ya vitu vya kuhusisha pia.
 
Noted, and understood 👊🏾
 
Back
Top Bottom