Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Najua unawaza watu huwa wawazi pindi waambiwapo uongo ila napendatu kukuambia kwamba mimi niko Moshi huyo yuko morogoro na dawa za hao watoto wachanga zipo ila hazihusiani na uchawi japo hata kulogwa au kutologwa ni imani ya mtu chamuhimu mimi nilitaka maelezo yake kuhusu nilichomwambia amfanyie mtoto akipata jibu napiga dawa picha ajaribu kuangalia kama atapata hilo jani atafune ampe mtoto atapona...Kwa hiyo Avatar yako, ni hakika utamuelekeza kwenda kupiga ramli. Na ndio maana unamwita chobingo. πππππ
Just a joke Mkuu.Najua unawaza watu huwa wawazi pindi waambiwapo uongo ila napendatu kukuambia kwamba mimi niko Moshi huyo yuko morogoro na dawa za hao watoto wachanga zipo ila hazihusiani na uchawi japo hata kulogwa au kutologwa ni imani ya mtu chamuhimu mimi nilitaka maelezo yake kuhusu nilichomwambia amfanyie mtoto akipata jibu napiga dawa picha ajaribu kuangalia kama atapata hilo jani atafune ampe mtoto atapona...
Nihayotu sio kila jambo ni ramli mkuu
Mkuu kwa kumtumia picha ya jani anaweza litafuta na akalipata kweli. Labda awe botanistNajua unawaza watu huwa wawazi pindi waambiwapo uongo ila napendatu kukuambia kwamba mimi niko Moshi huyo yuko morogoro na dawa za hao watoto wachanga zipo ila hazihusiani na uchawi japo hata kulogwa au kutologwa ni imani ya mtu chamuhimu mimi nilitaka maelezo yake kuhusu nilichomwambia amfanyie mtoto akipata jibu napiga dawa picha ajaribu kuangalia kama atapata hilo jani atafune ampe mtoto atapona...
Nihayotu sio kila jambo ni ramli mkuu
Mkuu unaweza kumtumia picha akawa analijua sana au halijui ila yupo anayelijua akamsaidia mtoto akapona ndugu mtoto niwakwetu sote maana huenda kesho akamuacha huyo mke namimi nikamuoa kufa kufaanaMkuu kwa kumtumia picha ya jani anaweza litafuta na akalipata kweli. Labda awe botanist
Pamoja mkuuJust a joke Mkuu.
Wishing you asubuh njema