Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Najua unawaza watu huwa wawazi pindi waambiwapo uongo ila napendatu kukuambia kwamba mimi niko Moshi huyo yuko morogoro na dawa za hao watoto wachanga zipo ila hazihusiani na uchawi japo hata kulogwa au kutologwa ni imani ya mtu chamuhimu mimi nilitaka maelezo yake kuhusu nilichomwambia amfanyie mtoto akipata jibu napiga dawa picha ajaribu kuangalia kama atapata hilo jani atafune ampe mtoto atapona...Kwa hiyo Avatar yako, ni hakika utamuelekeza kwenda kupiga ramli. Na ndio maana unamwita chobingo. 😀😀😀😀😀
Nihayotu sio kila jambo ni ramli mkuu