nimeliona hilo tatizo LA mtoto kwa kifipa huo ugonjwa tunauita 'kamwilonde'huu ugonjwa unaweza zunguka hosptali kibao na usipate tiba haya mambo ni ya kienyeji.Tumia magome mabichi ya mkuyu changanya binzari mbichi iliyosagwa changanya na maji chemsha hadi iive ikipoa ,baada ya hapo muugeshe kwanza na maji ya kawaida kisha tumia huo mchanganyiko kumsuuza kwa wiki mbili utanipa majibu mkuu