Msaada: Mtoto wangu amekunywa petrol

Msaada: Mtoto wangu amekunywa petrol

Oh pole sana, and so sorry to chip in this late! I hope by now the child have already got appropriate treatment and recovering! Petroleum poisoning is in the group of hydrocarbons (eg, gasoline, kerosene, mineral oil, lamp oil, some paints and paint thinners). Hydrocarbon poisoning may result from ingestion or inhalation. Ingestion, most common among children < 5 yr, can result in aspiration pneumonitis/pneumonia. Diagnosis of pneumonitis is by clinical evaluation, chest x-ray, and oximetry. Gastric emptying (like inducing vomiting) is contraindicated because aspiration is a risk. Treatment is usually supportive!

Hydrocarbons, if ingested in large amounts, may be absorbed systemically and cause central nervous system (CNS) or hepatic (liver) toxicity, which is more likely with halogenated hydrocarbons (eg, carbon tetrachloride, trichloroethylene)

After ingestion of even a very small amount of liquid hydrocarbon, patients initially cough, choke, and may vomit. Young children may have cyanosis (mouth, tongue turns blue) , hold their breath, and cough persistently. Older children and adults may report burning sensation in the stomach. Aspiration pneumonitis causes difficulty in breathing and respiratory distress!

The main fearful danger is inhalation of the gasoline (petrol) which can cause upper respiratory infection and sometimes pneumonia/pneumonitis but also petrol is corrosive to the delicate inner wall of the intestines and stomach. Those at home the did a good job to give him/her milk to drink! Spontaneous vomiting is good than induced vomiting, for her/his age i believe it was spontaneous vomiting and the only fear during vomiting is inhalation! Actually inducing vomiting is contraindicated!

Treatment is mostly supportive but may depend with severity of the condition and antibiotics, oxygen (among others) may be given! It is important to note how much (amount) of the petrol the child has drunk...!
 
MSAADA JAMANI:
JE NI HUDUMA GANI YA KWANZA ,ALIPPEWA MAZIWA ,NA CHUMVI AKATAPIKA
MTOTO HUYU ANA 1.3YRS OLD
KULIKUWA NA JENERATOR NJE WANAPUMP MAJI KWANGU UMEME WA TANESCO HUJAFIKA,ILE WAMEJISAHAU KIDOGO AKAENDA CHOMO AILE PIPE INAYOTOA PETROL NAKUBWIA ,
JAMANI NISAIDIENI ANAWEZA PATA SIDE EFFECT???
NIFANYE NINI SASA MAANA AMETAPIKA NA SIJUI KAMA IMEKWISHA HUMO TUMBONI .
JE IKIINGIA KWENYE MISHIPA YA DAMU HAIWEZI LETA MADHARA??
ANY ONE HAD EXPERIENCE THIS NIAMBIENI WOGA IMENITAWALA
NAWASILISHA WAKUU WANGU
MziziMkavu Riwa NA WENGINE WOTE NISAIDIENI MWENZENU

Mpeleke hospital sio vizur kumlaza ndani wakati hospitali zipo,kuna jamaa yangu mtoto wake alikunywa mafuta ya taa walimpa maziwa na pia wakamkimbiza hospitali pale Temeke,huduma alipewa ila baada ya masaa kadhaa alifariki dunia,alikuwa na umri wa mwaka na miez sita hivi.So sio vizuri kukaa nae ndani bila kumpeleka hospitali.
 
Dah!!! Watu wengine bana!!! Mwenzetu ana tatizo kubwa sana anaomba msaada wa kumsaidia mwanae ili asiathirike na hiyo petroli aliyokunywa halafu wewe unafanya dhihaka!!! Hivi huyu angekuwa mwanao ungewasha kibiriti na kumtumbukizia tumboni!? Acha hizo!!! Pole sana Nivea.

Mwambie aachame, washa njiti ya kiberiti halafu tumbukiza tumboni.
 
ohh my good god oh

Kama kweli hiyo petroli ilikuwa na lead nyingi basi madhara yanaweza kuwa makubwa hapo hapo. Ila kama hadi sasa yupo salama, then mpe dawa za kuondoa sumu mwilini (sizijui majina, but ukienda kwa Dr Kibona pale Shekilango utapata). Pia kuna mboga zinaitwa cilantro (na zenyewe sijui jina lake kwa kiswahili, ila zinauzwa sana sokoni), ukigoogle ukaona picha zake nina uhakika utazitambua mara moja. Hizo mpe (kwa kuwa ni mtoto unaweza kuwa unamnywesha supu yake kidogo kila siku), walau kwa wiki 2...
Pole sana...
 
unasikitisha sana wewe, hayajakutokea na uombe yasimtokee wa karibu nawe. shame

Hata huyo Nivea hayajamtokea yakimtokea asingepata huo muda wa kuandika hapa JF mwache maria Rosa ajiachie bana. Usichukulie kila kitu cha JF siriaz kiasi hicho fanya siku yako iwe njema na JF
 
Last edited by a moderator:
yaani wewe Nivea unataka kuniudhi sasa!
Kwanza huyo kid alionwa na dr wa watoto? Kama ulimpeleka kidispensary cha mtaani kwa kweli umuamshe sasa hivi muende kwa dr wa watoto.

Pili. Ina maana hauna namba ya dr yeyote ambaye unaweza kumpigia kwa emergency? Ama namba ya hospitali unayotibiwa mara nyingi? Huduma ya kwanza sio ya kubahatisha. Mtu aliekunywa petroli ama mafuta ya taa hapaswi kutapishwa kwa sababu yataingia kwenye mfumo wa hewa na kusababisha infection.

Mpeleke mtoto hospitali tena, au kwa dr mwingine kwa ajili ya kucheki kifua. Mpe na juice ya beet root iliyochanganywa na apples kwa sababu inasaidia kuondoa sumu mwilini.

Poleni sana.
 
Last edited by a moderator:
You are right, kama ni true this woman is stupid,sijui muda wa kupost jf aliupata wapi,ndomana alikuwa anamsema mama mkwe wake hapa,hii mijitu ya kigacha haina akili kabisa inawaza mali all the time
Hata huyo Nivea hayajamtokea yakimtokea asingepata huo muda wa kuandika hapa JF mwache maria Rosa ajiachie bana. Usichukulie kila kitu cha JF siriaz kiasi hicho fanya siku yako iwe njema na JF
 
Last edited by a moderator:
Ushauri tu kidogo, kwavyovyote hakikisha anapata matibabu hospitali kubwa.
Petrol siyo tatizo kubwa kama madhara yatokanayo.

Petrol ni volatile na kwavile amekuwa anatapika hiyo si kitu nzuri.
Akiivuta hewa anaweza kupata chemical pneumonitis ambayo matibabu yake ni mazito!! Kumbuka si wadudu ni chemical.

Fanya uangalizi sana wa kifua na nenda HOSPITALI KUBWA.
 
Kama kweli hiyo petroli ilikuwa na lead nyingi basi madhara yanaweza kuwa makubwa hapo hapo. Ila kama hadi sasa yupo salama, then mpe dawa za kuondoa sumu mwilini (sizijui majina, but ukienda kwa Dr Kibona pale Shekilango utapata). Pia kuna mboga zinaitwa cilantro (na zenyewe sijui jina lake kwa kiswahili, ila zinauzwa sana sokoni), ukigoogle ukaona picha zake nina uhakika utazitambua mara moja. Hizo mpe (kwa kuwa ni mtoto unaweza kuwa unamnywesha supu yake kidogo kila siku), walau kwa wiki 2...
Pole sana...
asante sana Tuko kwa ushauri mzuri nitaufuatilia
 
Last edited by a moderator:
yaani wewe Nivea unataka kuniudhi sasa!
Kwanza huyo kid alionwa na dr wa watoto? Kama ulimpeleka kidispensary cha mtaani kwa kweli umuamshe sasa hivi muende kwa dr wa watoto.

Pili. Ina maana hauna namba ya dr yeyote ambaye unaweza kumpigia kwa emergency? Ama namba ya hospitali unayotibiwa mara nyingi? Huduma ya kwanza sio ya kubahatisha. Mtu aliekunywa petroli ama mafuta ya taa hapaswi kutapishwa kwa sababu yataingia kwenye mfumo wa hewa na kusababisha infection.

Mpeleke mtoto hospitali tena, au kwa dr mwingine kwa ajili ya kucheki kifua. Mpe na juice ya beet root iliyochanganywa na apples kwa sababu inasaidia kuondoa sumu mwilini.

Poleni sana.
King'asti mpenzi haya yote yanatokea niko huku mjini hiyo jana ,nilichokifanya nilimpigia Dr,ambaaye huwa anamuattend toka amezaliwa akaenda mchukua pale nyumbani,na katika kuhangaika kama huduma ya kwanza walimpa tui la nazi,na maziwa mengi then chumvi kidogo akatapika ile peetrol karibu yote ,ndio na dr akamchukua!!mpaka narudi jioni alikuwa kesha hudumia kwa usimamizi wa baba yake.najua mnaijua dsm kutoka point moja hadi nyingine ni kazi sana,ila nilikazan pia kumwangalia nakumnyonyesha usiku kucha namshukuru mungu anaendelea vizuri leo hii asubuhi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom