Msaada: Mtoto wangu amekunywa petrol

Msaada: Mtoto wangu amekunywa petrol

Nakutania tu mwaya, najua umepewa ushauri woote unaohitajika na mtoto amepatiwa huduma inayostahili, ni utani tu sina roho mbaya kihivo Nivea​.
pole ndugu yangu nilighafilika tu maana dah ilikuwa ni hatari sana mkuu
na uwe na siku njema
 
Asante sana Kaunga The Boss Little Angel Smile kisukari
mtoto anaendelea vizuri niimempeleka kwa dactari anayemtibu amemchoma sindano,pia ametapika na tumempa maziwa mengi sana kwa sasa lita imeisha nimemnyonyesha na amelala na ile harufu naona imepungua kabisa.namshukuru sana Mungu .asanteni sana.

pole sana mamie...presha uliyokuwa nayo sidhani kama ulilala usingizi.. Mungu ni mwema ataendelea kumpa nafuu..
 
Last edited by a moderator:
MSAADA JAMANI:
JE NI HUDUMA GANI YA KWANZA ,ALIPPEWA MAZIWA ,NA CHUMVI AKATAPIKA
MTOTO HUYU ANA 1.3YRS OLD
KULIKUWA NA JENERATOR NJE WANAPUMP MAJI KWANGU UMEME WA TANESCO HUJAFIKA,ILE WAMEJISAHAU KIDOGO AKAENDA CHOMO AILE PIPE INAYOTOA PETROL NAKUBWIA ,
JAMANI NISAIDIENI ANAWEZA PATA SIDE EFFECT???
NIFANYE NINI SASA MAANA AMETAPIKA NA SIJUI KAMA IMEKWISHA HUMO TUMBONI .
JE IKIINGIA KWENYE MISHIPA YA DAMU HAIWEZI LETA MADHARA??
ANY ONE HAD EXPERIENCE THIS NIAMBIENI WOGA IMENITAWALA
NAWASILISHA WAKUU WANGU
MziziMkavu Riwa NA WENGINE WOTE NISAIDIENI MWENZENU

Iliwahi kunitokea wakati navuya mafuta kwa pipe nikayabwia kama glass 1. Mi nlikunywa maziwa tu, tena ya NIDO sikutapika ila nlikuwa nkienda mbweo tu, siku tatu nzima nkenda mbweo harufu ya petroli unaisikia kutoka kinywani. Wakati natafuta ufumbuzi kwa sababu mzee hakuwepo nikamfata jirani ili akanipeleke hospitali, akamtwangia dokta wake na kumpa details, dokta akauliza kama napiga mbweo, nkamwambia yes akasema basi inatosha.
 
kuppiga bweo nikufanyaje mkuu wangu
 
Asante sana Kaunga The Boss Little Angel Smile kisukari
mtoto anaendelea vizuri niimempeleka kwa dactari anayemtibu amemchoma sindano,pia ametapika na tumempa maziwa mengi sana kwa sasa lita imeisha nimemnyonyesha na amelala na ile harufu naona imepungua kabisa.namshukuru sana Mungu .asanteni sana.

Umemwuliza daktari hiyo sindano aliyochoma ni ya nini?
 
Sku nyingine, ukiwa kwenye emergency case ya namna hii usiwe unaandika hivyo. Mtu angeweza kukupuuza bure ikawa madhara kwa mtoto.
sipo nyumbani ndugu yangu lol amelala kwa sasa nafikiri inshalevya lol
 
umemwuliza daktari hiyo sindano aliyochoma ni ya nini?
ni yakuondoa sumu mwilini.kabla pia niliwasiliana na kaka yangu ambaye ni mfamasia akashauri achomwe hiyo sindano haina madhara dawa ahiyo inatoa sumu mwilini ni badala yakumeza vidonge
 
  • Thanks
Reactions: EMT
hata huyo nivea hayajamtokea yakimtokea asingepata huo muda wa kuandika hapa jf mwache maria rosa ajiachie bana. Usichukulie kila kitu cha jf siriaz kiasi hicho fanya siku yako iwe njema na jf
kwani nilipost hii thread kupata mchango ya ndugu zangu humu ili nijue how to move forwad au kupata page zijae na wachangiaji wengi??????????imenisaidia sana michango ya humu na na kila ushauri niliokuwa napewa nimeufanyia kazi je ningepost nije asubuhi ingesaidia nini.watu wengine bwana useless kabisa
 
something unakuwa unafanya kama umeshiba from the mouth.... Like ukinywa coca cola ivi... Sijui unenipata kidogo
kama kucheua vile ee na kutoa hewa
 
Dah!!! Watu wengine bana!!! Mwenzetu ana tatizo kubwa sana anaomba msaada wa kumsaidia mwanae ili asiathirike na hiyo petroli aliyokunywa halafu wewe unafanya dhihaka!!! Hivi huyu angekuwa mwanao ungewasha kibiriti na kumtumbukizia tumboni!? Acha hizo!!! Pole sana Nivea.
Kumradhi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
You are right, kama ni true this woman is stupid,sijui muda wa kupost jf aliupata wapi,ndomana alikuwa anamsema mama mkwe wake hapa,hii mijitu ya kigacha haina akili kabisa inawaza mali all the time

hahahaha kumbe alileta post ya kumsema mamamkwe embu naomba hiyo link nikaione. Inawezekana tatizo sio yeye labda amekosa faraja hivyo anaona JF ndo pakuongea kila kitu kumbe unaharibu kabisa. Ila aisee nikiwe usiwaseme hao wagacha kihivyo bana rafikiyo Ayanda ni wa huko lol
 
Last edited by a moderator:
kwani nilipost hii thread kupata mchango ya ndugu zangu humu ili nijue how to move forwad au kupata page zijae na wachangiaji wengi??????????imenisaidia sana michango ya humu na na kila ushauri niliokuwa napewa nimeufanyia kazi je ningepost nije asubuhi ingesaidia nini.watu wengine bwana useless kabisa

Jifunze kuangalia vitu vya kuposti mengine tunakuona kama vile unatafuta kuonekana ulikuwa JF sasa unaacha kumpostia daktari wa mtoto unatuletea hapa JF??? Hivi ushapata bei elekezi mpenzi lol
 
Back
Top Bottom