Msaada: Mtoto wangu amekunywa petrol

pole sana mpeke hospital. ila ninavyojua mdhara sio makubwa sana maana hata kuwa amekunywa kiasi kikubwa. kuna mdogo wangu alikunywa soda ya mafuta ya taa ila alipona na mpaka leo hii anaendelea vizuri
 
Jifunze kuangalia vitu vya kuposti mengine tunakuona kama vile unatafuta kuonekana ulikuwa JF sasa unaacha kumpostia daktari wa mtoto unatuletea hapa JF??? Hivi ushapata bei elekezi mpenzi lol
asante sana Mungu akubariki
 
You are right, kama ni true this woman is stupid,sijui muda wa kupost jf aliupata wapi,ndomana alikuwa anamsema mama mkwe wake hapa,hii mijitu ya kigacha haina akili kabisa inawaza mali all the time
asante sana .mungu akubakiri pia
 
Poleni sana
Ndo umri huo kila kitu wanapeleka mdomoni
Maziwa yanasaidia sana kuondoa sumu
Wangu alikunywa spirit kidogo nidate
 
Pole Nivea hizo ndiyo changamoto za kulea watoto wetu.Nina imani anaendelea vizuri.
 
Mpige kiberiti

Any way pole sana ataharisha sana ila mpe maziwa kwa wingi
 
mpige kiberiti

any way pole sana ataharisha sana ila mpe maziwa kwa wingi
hapo kwenye red:::asante sana kwa ushauri wako pia ,nguvu na akili uliyotumia asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…