Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mpelekeni Kwa mama cheza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akilala haweze kukaa mwenyewe hadi akalishwe mkuu, anachoweza yeye ni kushuka kwenye kiti tu, suala la kuchepuka kwangu mimi hapana, labda mwenzangu (mama yake) sababu siwezi jua na siwezi kumsemeaJe, anakaa mwenyewe aamkapo au unamkalisha? Kama anakaa mwenyewe usimhangaishe. Atatembea siku si nyingi. Watoto wana vituko vyao. Wapo ambao huketi tu, wakisimama tu huondokea mbele kwa mbele tena mbio, hawatambai. Wapo wengine hutambaa speed ya ajabu na wakisimama hakuna tena kutambaa. Usiogope, muda wake bado.
Swali; Je, umechepuka kidogo?? Wengine wanasema ati kanyonyea maziwa ya mwenzake. Hata ukipimwa na kuonekana una mimba ya mume/babake. Endelea kumnyonyesha mtoto hadi mwezi kabla hujajifungua. Ila, lishe yako iwe nzuri tu
sina hakika sana, labda!!!Pole sana. Mjiangalie yawezekana kati yenu kuna mchepukaji
Ndio wapi huko Mkuu?Mpelekeni Kwa mama cheza
Ni kweli wng miezi kumi yeye kutembea kwake hd apate sehem ya kushika na ikitokea yuko peke anasimama na kutembea akitokea mtu ghafla anakaaJe, anakaa mwenyewe aamkapo au unamkalisha? Kama anakaa mwenyewe usimhangaishe. Atatembea siku si nyingi. Watoto wana vituko vyao. Wapo ambao huketi tu, wakisimama tu huondokea mbele kwa mbele tena mbio, hawatambai. Wapo wengine hutambaa speed ya ajabu na wakisimama hakuna tena kutambaa. Usiogope, muda wake bado.
Swali; Je, umechepuka kidogo?? Wengine wanasema ati kanyonyea maziwa ya mwenzake. Hata ukipimwa na kuonekana una mimba ya mume/babake. Endelea kumnyonyesha mtoto hadi mwezi kabla hujajifungua. Ila, lishe yako iwe nzuri tu
akilala haweze kukaa mwenyewe hadi akalishwe mkuu, anachoweza yeye ni kushuka kwenye kiti tu, suala la kuchepuka kwangu mimi hapana, labda mwenzangu (mama yake) sababu siwezi jua na siwezi kumsemea
Ni kweli wng miezi kumi yeye kutembea kwake hd apate sehem ya kushika na ikitokea yuko peke anasimama na kutembea akitokea mtu ghafla anakaa
Hilo la kuchunguza kwenye familia yetu kama tunawahi au kuchelewa, naweza kusema kwa kifupi wengi wanawahi ndio maana imekuwa gumzo kwenye familia baada ya huyu wangu kuchelewa.Dah! Kumbe we ni me!! Nilidhani ni ke. Wanaume hatukimbilii kuona wanetu wakitembea. Utamkuta barabarani tu siku moja. Mtoto mlemavu anaonesha dalili zifuatazo kama si zote lakini mara nyingi: Hawezi kuamka kitandani, hawezi geuza shingo wala kuikaza, hawezi kukaa mwenyewe hata ukimtengenezea ngata, na macho kupepesa hawezi.
Huyu wako anashuka mwenyewe kwenye kiti. Usimsumbue mtoto, atatembea tu. Je, Umewahi kuchunguza kwenye family yenu?? Huenda huwa mnachelewa sana kutembea.
Hilo la kuchunguza kwenye familia yetu kama tunawahi au kuchelewa, naweza kusema kwa kifupi wengi wanawahi ndio maana imekuwa gumzo kwenye familia baada ya huyu wangu kuchelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji2] hana pa kwendaHuwa inatokea, kuna watoto huwa hawatambai inatokea siku anasimama na kutembea,
Huu uzi umenikumbusha ushauri uliotolewa huko fb, "ushauri jaman, mtoto wangu hatembei" jibu likatoka hana pa kwenda.
Ndio wapi huko Mkuu?
ahsante kwa ushauri mkuuInakupasa uanze kumuona daktari bingwa wa watoto, atakuhudumia Kwa kufanya vipimo, Kisha ataweza kumpatia multi vitamins na dawa nyingine Kama ataona ni vyema, mkisha tumia Dawa baada ya muda wataangalia maendeleo , Kama bado huyo daktari wa watoto bingwa ndiye atashauri umpeleke Kwa mama cheza Muhimbili !
Pia anzeni kumsihi Mungu awafanyie wepesi sawasawa na Imani yenu wakati mkiendelea na kwenda hospital!
Mungu ni mwema atatembea tu tena hadi mtashangaa!
Ila mchukue hatua ya maombi na dua wakati huo huo kwenda Mihimbili kuona daktari bingwa wa watoto!
Huja mmbemenda kweli wewe...????Ndugu wana JF mada tajwa hapo juu inahusika, mtoto wangu ana zaidi ya mwaka sasa lakini hawezi kutambaa wala kutembea mwenyewe, alipotimiza mwaka mmoja kamili nilimpeleka hospitali ya rufaa, madaktari wakamchumnguza na kudai hana tatizo kwani viungo vyake vipo vizuri, pamoja na majibu hayo ya madaktari lakini mtoto bado hawezi kutembea mwenyewe bila msaada wa baby walker. Naomba msaada kwenu wataalamu nadhani hapa JF kuna wataalamu wa kila aina wengine wamesomea mambo haya na wengine wamekutana na jambo hili na wakafanikiwa kulitatua hivyo ni imani yangu nitapata ufumbuzi wa tatizo hili. Natanguliza shukrani
Hapana mkuuHuja mmbemenda kweli wewe...????
Ni dume??? Ata kama umembemenda utasema...[emoji23][emoji23] km wakiume huwa ni mazembe litasimama hilo jembe usihofu..Hapana mkuu
Angalau umenipa moyo, ngoja nimkazanie kumlisha maana hapendi kula zaidi ya kunyonyaMkuu kila mtoto ana stage zake za kukua... Wa kwangu alianza kutembea na mwaka 1 na miezi 8 baada ya kumkomalia kumfanyisha mazoezi... Nilichogundua mtoto alikua anabebwa sana pindi nikiwa sipo, nikapiga marufuku mtoto kubebwa pasipo ulazima na nikawa namfundisha mwenyewe pia alikua hapendi kula nikawa nahakikisha kila jioni lazima nimlishe... Week 2 tu dogo akaanza mabadiliko...
Wengine hutembea na 2 years...
Angalau umenipa moyo, ngoja nimkazanie kumlisha maana hapendi kula zaidi ya kunyonya