Msaada, mtoto wangu hatembei

Msaada, mtoto wangu hatembei

Angalau umenipa moyo, ngoja nimkazanie kumlisha maana hapendi kula zaidi ya kunyonya
Mkuu malezi ni baba pia na inahitaji uvumilivu pia... Kuna muda utatemewa chakula usoni kuna muda utanyewa au vilio vya ajabu au mama yake kukasirika, yote vumilia tu usimkasirikie mtoto we timiza majukumu....
Watoto wanahitaji kuelewa kutoka kwetu na si wao tuwaelewe bila sababu...
 
Lishe,hizo Kilo 9 Ni Za MTOTO WA MIEZI 9,kazana lishe na mazoezi tu
 
Da mzee kua na amani aisee, hata mimi wangu ameanza kuota meno na miezi miwili na saiv ana mwezi wa tatu anatambaa so hiyo ni hali ya kawaida kuna kuwahi au kuchelewa mkuuu so mtafutie vigali vya mbao vya miguu mitatu
 
Unataka awahi kutembea Auende wapi!??? Kuwa mpole ndo kwanza mwaka mmoja... Nlijua miwili bhna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Si unajua wengine wamechelewa sana kuzaa anakimbizana umri anatakiwa mdogo ake chapuchapu
 
Huwa inatokea, kuna watoto huwa hawatambai inatokea siku anasimama na kutembea,
Huu uzi umenikumbusha ushauri uliotolewa huko fb, "ushauri jaman, mtoto wangu hatembei" jibu likatoka hana pa kwenda.
[emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu wana JF mada tajwa hapo juu inahusika, mtoto wangu ana zaidi ya mwaka sasa lakini hawezi kutambaa wala kutembea mwenyewe, alipotimiza mwaka mmoja kamili nilimpeleka hospitali ya rufaa, madaktari wakamchumnguza na kudai hana tatizo kwani viungo vyake vipo vizuri, pamoja na majibu hayo ya madaktari lakini mtoto bado hawezi kutembea mwenyewe bila msaada wa baby walker. Naomba msaada kwenu wataalamu nadhani hapa JF kuna wataalamu wa kila aina wengine wamesomea mambo haya na wengine wamekutana na jambo hili na wakafanikiwa kulitatua hivyo ni imani yangu nitapata ufumbuzi wa tatizo hili. Natanguliza shukrani
Ni PM
 
Kuna mahali nilipitia nikakuta huu mjadala huko instgram wanawake wanauliza mambo mbalimbali kuna mmoja aliuliza kama hili lako.

Alipewa shauri mbalimbali kutokana na uzoefu wa watu ktk haya maswala.
Mija wapo ya ushauri alio pewa ulikuwa huu,

"Vua chupi yako mkande nayo miguuni kila siku asubuhi na jioni kwa miezi 3 "

Baada ya miezi 3 yule muuliza swali alikuja na mrejesho kuwa amemaliza zoezi na mtoto ameanza kutembea.

Nimeshea nilicho kisikia huko kazi kwako kukichukua au kuacha.

Japo sijui na sina uhakika na uhalisia wake kwann chupi tena unavua sio ile mpya au kitambaa kingine.mpk sasa sina majibu ktk hili
 
Ahsante kwa ushauri Ndugu
Japo sijui na sina uhakika na uhalisia wake kwann chupi tena unavua sio ile mpya au kitambaa kingine.mpk sasa sina majibu ktk hili
 
lishe haiko sawa, ana kg ndogo!!kazana kwenye kula, tafuta kigari cha mbao na afanye zoezi la kukiendesha mara kwa mara, kampani ya watoto wenzake inasaidia mno.
 
lishe haiko sawa, ana kg ndogo!!kazana kwenye kula, tafuta kigari cha mbao na afanye zoezi la kukiendesha mara kwa mara, kampani ya watoto wenzake inasaidia mno.
ukweli kuhusu kula alikuwa anasumbua sana ,alikuwa hali chochote zaidi ya maziwa ya mama yake, but nashukuru kuanzia wiki moja iliyopita ameanza kula
 
Zingatieni kwenda kumuona daktari bingwa wa watoto mpate na multi vitamins zitanisaidia kupata hamu ya kula na supplements Ili kufanya mlo wake kuwa kamili!
Mfano calcium, vitamin D vitamsaidia kuimarisha misuli na mifupa Yake n.k
Asubuhi awe anatolewa nje apate mwanga wa jua la asubuhi !
Zingatieni Mazoezi kile kigari cha kienyeji ni muhimu kuliko baby walker, mshikisheni Hata Kama atakuwa hataki kiasi cha kulia msijali mlazimisheni hivyo hivyo watoto wenzie huku wakimuimbia nyimbo!
 
Ahsante sana Mkuu kwa ushauri
 
Ndugu wana JF mada tajwa hapo juu inahusika, mtoto wangu ana zaidi ya mwaka sasa lakini hawezi kutambaa wala kutembea mwenyewe, alipotimiza mwaka mmoja kamili nilimpeleka hospitali ya rufaa, madaktari wakamchumnguza na kudai hana tatizo kwani viungo vyake vipo vizuri, pamoja na majibu hayo ya madaktari lakini mtoto bado hawezi kutembea mwenyewe bila msaada wa baby walker. Naomba msaada kwenu wataalamu nadhani hapa JF kuna wataalamu wa kila aina wengine wamesomea mambo haya na wengine wamekutana na jambo hili na wakafanikiwa kulitatua hivyo ni imani yangu nitapata ufumbuzi wa tatizo hili. Natanguliza shukrani
Mpe mda
Binadamu tunatofautiana
Akivuka miaka 2 ndiyo utieshaka.
Aendelew na bby walker yake.
Alicheleqa kulia baada ya kuzaliwa?
Mama alipata shida wkt wa kujifungua?
 
Nenda kwa Dr wa watoto ukiona hajaeleweka geukia uafrika uwaulize wabibi wanajua zaidi. Experience!
 
Mpe mda
Binadamu tunatofautiana
Akivuka miaka 2 ndiyo utieshaka.
Aendelew na bby walker yake.
Alicheleqa kulia baada ya kuzaliwa?
Mama alipata shida wkt wa kujifungua?
Ndiyo alichelewa, mama hakupata shida sana zaidi ya kuongezewa njia
 
Ndugu wana JF mada tajwa hapo juu inahusika, mtoto wangu ana zaidi ya mwaka sasa lakini hawezi kutambaa wala kutembea mwenyewe, alipotimiza mwaka mmoja kamili nilimpeleka hospitali ya rufaa, madaktari wakamchumnguza na kudai hana tatizo kwani viungo vyake vipo vizuri, pamoja na majibu hayo ya madaktari lakini mtoto bado hawezi kutembea mwenyewe bila msaada wa baby walker.

Naomba msaada kwenu wataalamu nadhani hapa JF kuna wataalamu wa kila aina wengine wamesomea mambo haya na wengine wamekutana na jambo hili na wakafanikiwa kulitatua hivyo ni imani yangu nitapata ufumbuzi wa tatizo hili.

Natanguliza shukrani
Kama hana ulemavu bas nakushauri ujaribu ma tiba asili pia, kwan hll tatizo n dogo sana. Kama upo seriously nPM, tulimalize n baadh tu ya miti na mila asili mtoto atatembea in 2 Weeks tu. Trust me[emoji1621]
 
Back
Top Bottom