Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mkuu malezi ni baba pia na inahitaji uvumilivu pia... Kuna muda utatemewa chakula usoni kuna muda utanyewa au vilio vya ajabu au mama yake kukasirika, yote vumilia tu usimkasirikie mtoto we timiza majukumu....Angalau umenipa moyo, ngoja nimkazanie kumlisha maana hapendi kula zaidi ya kunyonya
Watoto wanahitaji kuelewa kutoka kwetu na si wao tuwaelewe bila sababu...