Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 466
- 273
Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na viscosity na rangi yake ile ile kama inavyokuwa kwenye kopo lake nimepata utata kidogo je natakiwa kubadili sasa hv?oil niliyotumia ni ile ya Toyota 5W 30.