Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya kuvuja ni magari yote mkuu au huwa inatokea??? Oil imevuja mpaka imeishaa na haijawahi nitokea toka nianze kufanya service fala sana yule fundi.Oil inabdilishwa kwa sababu ya yafuatayo;
1. Calendar time
Hata kama gari haijatembea kwa muda fulani, bado utatakiwa ubadili oil. Maana naturally, oil inapoteza hali bora yake kutokana na mazingira na hali ya hewa
2. kilomita ambazo gari imetembea
3. Oil kuvuja
Chochote nje ya hivyo kisitumike kuamua kubadili au kuiacha oil iendelee kutumia.
Labda ubadili isizidi km 10,000.Ni kweli Mkuu,nimefungua bonet ya hii gari nimekuta maandishi yana recommend kuwa oil ibadilishwe kila baada ya kilomita 15,000...nafikiri nitabadili soon ila ukwel oil iliyopo bado ni mpya kabisa.View attachment 3205234
Mfano sump ikitoboka au kupasuka na oil kumwagikaHii ya kuvuja ni magari yote mkuu au huwa inatokea??? Oil imevuja mpaka imeishaa na haijawahi nitokea toka nianze kufanya service fala sana yule fundi.
hiyo Oil ya Synthetic uliyoweka ni nzuri inaenda kms 5000, wengine hutembea hata zaidi kidogo hasa kama umeweka Filter nzuri.Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na viscosity na rangi yake ile ile kama inavyokuwa kwenye kopo lake nimepata utata kidogo je natakiwa kubadili sasa hv?oil niliyotumia ni ile ya Toyota 5W 30.
Gerezani kariakoo mtaa wa kiungani/Livingstone , Duka linaitwa SAI ENTERPRISES hawa ni wahindi ambao dealer authorized wa Castrol...pia Kuna wahindi wengine ambao ni wakala wa Castrol wapo mtaa msimbazi/mvita hawa wanauza pia na oil filter BOSCH originalUnanunua wp Castrol OG kaka?
Mkuu umeshatumia hii Castrol oil edge ya kisasa?Kama unatumia Fully Synthetic Oil badilisha kila ikifika km 5,000.
Mimi kwasasa natumia PUMA Fully Synthetic Oil baada ya kuachana na CASTROL Edge Fully Synthetic Oil
Sidhani kama hii ni Synthetic Oil!Mkuu umeshatumia hii Castrol oil edge ya kisasa?
Maana bei yake imechangamka na mzuri Sana kama unataka kutumia Kwa safari ndefu.
Bei yake ni Tsh 165,000/= Kwa jumla na maduka mengine wanauza 180,000 View attachment 3211024
Hii ni fully synthetic mkuu kabla ya kununua nilianza Kwanza kufanya utafiti pamoja na mafundi, hizo Castrol oil za kuchakachua nazijua vizuri Sana na bei zake ni 65,000/= mitaa ya shaurimoyo na msimbazi...Sidhani kama hii ni Synthetic Oil!
Bei za Oil za Castrol na PUMA ni sawa sababu zote zilizopo Bongo zinatengenezwa South Africa.
Nilikuwa natumia Castrol Edge Synthetic Oil 5W30 kwa gari ya Kijapan na 5W40 kwa Mashine ya Mjerumani nikaachana nazo baada ya kampuni ya PUMA kuacha kuuza hizi Oil nikahamia kwenye PUMA Synthentic Oil mpaka sasa.
Kuwa makini sana na hizi Castrol Oil za sasa kuna ambazo zimechakachuliwa