Hiyo ni Toyota gari gani?Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na viscosity na rangi yake ile ile kama inavyokuwa kwenye kopo lake nimepata utata kidogo je natakiwa kubadili sasa hv?oil niliyotumia ni ile ya Toyota 5W 30.
Ni kweli Mkuu,nimefungua bonet ya hii gari nimekuta maandishi yana recommend kuwa oil ibadilishwe kila baada ya kilomita 15,000...nafikiri nitabadili soon ila ukwel oil iliyopo bado ni mpya kabisa.Kumekuwa na elimu ya kila Aina juu ya matumizi ya oil na km zake...Mimi Nina uzoefu Sana juu ya hizi km 3000 hasa oil zetu za kisasa za fully synthetic oil 5W-30,40.
Kulingana na Aina za kampuni kama vile total,liqur Molly, Atlantic,, Castrol hizi oil zina uwezo mkubwa wa kuishi Hadi km 6000 ila kutokana na mazingira yetu ya joto Kali ndiyo maana mafundi wanashauri Tuendelee nazo Kwa km 3000.
Hivyo sio mbaya kama unaona oil bado IPO vizuri ukatembelea Hadi km 5000..
Mimi natumia oil ya CASTROL EDGE FULL SYNTHETIC 5W-30 kama manufacture alivyopendekeza hata services yake Huko Japan walikuwa wanatumia Castrol oil maana kuna stika zipo kwenye gari nimeona ingawa Kwa Huko Japan wanatumia Kwa km 10,000 kama stika zinavyosena Ila bado Kwa huku bongo siwezi kuiga Kwa km hizoView attachment 3205077
Mimi nimejipangia ratiba yangu ya km 5000 inatoshaNi kweli Mkuu,nimefungua bonet ya hii gari nimekuta maandishi yana recommend kuwa oil ibadilishwe kila baada ya kilomita 15,000...nafikiri nitabadili soon ila ukwel oil iliyopo bado ni mpya kabisa.View attachment 3205234
Oil inabdilishwa kwa sababu ya yafuatayo;Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na viscosity na rangi yake ile ile kama inavyokuwa kwenye kopo lake nimepata utata kidogo je natakiwa kubadili sasa hv?oil niliyotumia ni ile ya Toyota 5W 30.
Kama unatumia Fully Synthetic Oil badilisha kila ikifika km 5,000.Ni kweli Mkuu,nimefungua bonet ya hii gari nimekuta maandishi yana recommend kuwa oil ibadilishwe kila baada ya kilomita 15,000...nafikiri nitabadili soon ila ukwel oil iliyopo bado ni mpya kabisa.View attachment 3205234
Kwa namba hiyo ya oil unayotumia bila shaka ni synthetic oil. Ina uwezo wa kwenda zaidi ya km 5000. Ila oil filter hapo ndo ya kubadili.oil niliyotumia ni ile ya Toyota 5W 30.
Oil Filter kama ni Genuine atabadili kila ikifika km 5,000 pamoja na Oil.Kwa namba hiyo ya oil unayotumia bila shaka ni synthetic oil. Ina uwezo wa kwenda zaidi ya km 5000. Ila oil filter hapo ndo ya kubadili.
Nilimuwaza huyo fundi aliyemuambia oil ya synthetic abadili baada ya km 3000 kama ataweza kumuwekea filter genuine, nikaona ni heri nimshauri abadili.Oil Filter kama ni Genuine atabadili kila ikifika km 5,000 pamoja na Oil.
Unanunua wp Castrol OG kaka?Mimi nimejipangia ratiba yangu ya km 5000 inatosha