Aende hospitali, au ikimpendeza, Kawe kwa MwamposaNi baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila anapokojoa akimaliza mkojo lazima yatoke matone madogo ya damu. Nini chanzo na tiba yake pia. Msaada wenu.
Kwani daktari amesema je?Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4.
Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka...
Mkuu huu ni uongo mtakatifu, hakuna uhusiano kati ya ini, utumbo mkubwa na njia ya mkojo, unapotosha!!Mungu wangu ini limeshaanza kuathirika na utumbo mkubwa pia...mwahishe hospital anafanye liver profile
Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4.
Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka...
Fafanua upotoshaji wangu nami nielimikeMkuu huu ni uongo mtakatifu, hakuna uhusiano kati ya ini, utumbo mkubwa na njia ya mkojo, unapotosha!!
Naona ume Generalise sana, Hebu tueleze kwa kina, akikojoa wapi? Chooni au wakati wa Tendo la ndoa?Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4.
Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka...
Njia ya mkojo inahusiana na figo, ungesema figo zimeathirika hapo sawa, maana utumbo mpana umeunganima na njia ya haja kubwa na sio njia ya mkojo so hakuna sehemu mtu atapata madhara kwenye utumbo mkubwa na effect zake zionekane kwenye njia ya mkojo, haiwezekani.Fafanua upotoshaji wangu nami nielimike
Asante kwa elimu nimeelimika sasa....kumbe badala ya ini nilipaswa kuweka figo.. Kwa ufafanuzi huu NAFUTA post yanguNjia ya mkojo inahusiana na figo, ungesema figo zimeathirika hapo sawa, maana utumbo mpana umeunganima na njia ya haja kubwa na sio njia ya mkojo so hakuna sehemu mtu atapata madhara kwenye utumbo mkubwa na effect zake zionekane kwenye njia ya mkojo, haiwezekani.
Pia ini likiathirika effect zake haziwezi kuonekana kupitia njia ya mkojo (kwenye figo) bali dalili za ini kuharibika huwa kama tumbo kujaa (ascitice) na hepatitis so kwa maelezo yako hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa hivyo ulivyovitaja na mtu kukojoa damu.
Hahaha mkuu kwa Mwamposa tenaAende hospitali, au ikimpendeza, Kawe kwa Mwamposa
Sitanii, aende tu asichukulie poaHahaha mkuu kwa mwamposa tena
Usiseme bla bla dogo.Hizo konyagi, kuchepuka mara 4, sijui watoto watatu etc, ni bla bla!! Nenda ukamwone urologist na waweza kuta ni UTI Sugu au Kichocho tu!
Duh very humble manAsante kwa elimu nimeelimika sasa....kumbe badala ya ini nilipaswa kuweka figo.. Kwa ufafanuzi huu NAFUTA post yangu
Anaweza kuwa na kichocho nenda kapime hospitaliNi baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4.
Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka.
Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa.
Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona.
Shida ni nini hasa?
Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila anapokojoa akimaliza mkojo lazima yatoke matone madogo ya damu.
Nini chanzo na tiba yake pia.
Msaada wenu.