Msaada: Mume wangu hajitumi. Anaweza kulala siku nzima nyumbani na akaona ni sawa tu

Hilo gari analotumia ni mali ya nani?

Uvivu haumtoki mtu kirahisi, yupo kwenye comfort zone, Bolt yenyewe ni kazi isiyotumia nguvu nyingi, ila kwa vile ana asili ya uvivu, aaagr.

Halafu, mwanaume na bao mimi huwa sielewi, ni michezo ya watu wa mwambao!!
 
Wewe umefanya kitu gani cha maendeleo? Au wewe umefanya kazi gani ambayo ni ya maendeleo
 
Pesa ya mafuta anapata wapi kama anashinda tu nyumbani? Halafu, Haleti chochote kabisa au analeta ila hakitoshi kutimiza malengo? Kama haleti kabisa ana hatia ila kama ni malengo na una malengo makubwa kushinda akili yake we omba talaka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…