ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Sasa mkuu wangu, kwani bao asili yake ni wapi!watusakama watu wa mwambao 😀
Si kila kazi ni miguvu physical tu yakhee, kazi zingine ni akili tu atiii

Aa ah!! Tena? Yaan wagawane wakati unaona mama ndo analisha familymkalishe chin pamoja na wazazi wake mjadli ilo akizingua mteme ishi kivyako na kabla ya hiyo mtishie mali mnagawa nusu uone atakavyo jishusha
Uwiiii 😂😂😂Mna miaka mingapi, huenda wote bado watoto so mwenzio anaenda kucheza ps kwao
Hayo si ni maajuza kabisa?Me 50 na ke 43
Mpaka unakuwa JF maana yake wewe una akili, ilikuwaje ukaolewa na Mwanaume kama huyu?Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza...
Nimeolewa miaka mitatu iliopita na mume wangu ni dereva wa bolt. Tatizo kubwa alilo nalo ni hajitumi, yani anaweza kulala siku nzima nyumbani na akaona ni sawa tu.
Anapenda sana kwenda kwao, kila siku lazima aende kwao, atashinda huko jioni ndo arudi tunapoishi. Hz tabia mimi zinanikwaza na kuniumiza sana maana maendeleo tutayasikia kwa jirani. Hamna future yoyote katika maisha yetu. Na huko kwao sio kama anakazi anafanya nope, ni aidha ashinde tu jioni anaende kucheza draft kijiweni au amuendeshe mama ake kwny safari zake za kila siku.
Nimeongea nae, nimeshirikisha wasimamizi wa ndoa mpaka nimekata tamaa maana hakuna mabadiliko. Yani haoni kama anapaswa kubadilika, kipato changu mimi hakitoshei majukumu ya nyumbani (nalipwa laki na nusu tu kwa mwezi)
Hebu nishaurini nifanye nini wana jamvi kabla sonona haijanimaliza
Nipo nasoma hapa na kureply so naona. Mama yake anajua maana nilishamshtakia lkn hakuna hatua amechu
Umeolewa na Mama's Boy.Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza...
Nimeolewa miaka mitatu iliopita na mume wangu ni dereva wa bolt. Tatizo kubwa alilo nalo ni hajitumi, yani anaweza kulala siku nzima nyumbani na akaona ni sawa tu.
Anapenda sana kwenda kwao, kila siku lazima aende kwao, atashinda huko jioni ndo arudi tunapoishi. Hz tabia mimi zinanikwaza na kuniumiza sana maana maendeleo tutayasikia kwa jirani. Hamna future yoyote katika maisha yetu. Na huko kwao sio kama anakazi anafanya nope, ni aidha ashinde tu jioni anaende kucheza draft kijiweni au amuendeshe mama ake kwny safari zake za kila siku.
Nimeongea nae, nimeshirikisha wasimamizi wa ndoa mpaka nimekata tamaa maana hakuna mabadiliko. Yani haoni kama anapaswa kubadilika, kipato changu mimi hakitoshei majukumu ya nyumbani (nalipwa laki na nusu tu kwa mwezi)
Hebu nishaurini nifanye nini wana jamvi kabla sonona haijanimaliza
Kweli zile sifa zinakufaa😅Humu tu 🚮
Kama hajitumi, mtume wewe!Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza...
Nimeolewa miaka mitatu iliopita na mume wangu ni dereva wa bolt. Tatizo kubwa alilo nalo ni hajitumi, yani anaweza kulala siku nzima nyumbani na akaona ni sawa tu.
Anapenda sana kwenda kwao, kila siku lazima aende kwao, atashinda huko jioni ndo arudi tunapoishi. Hz tabia mimi zinanikwaza na kuniumiza sana maana maendeleo tutayasikia kwa jirani. Hamna future yoyote katika maisha yetu. Na huko kwao sio kama anakazi anafanya nope, ni aidha ashinde tu jioni anaende kucheza draft kijiweni au amuendeshe mama ake kwny safari zake za kila siku.
Nimeongea nae, nimeshirikisha wasimamizi wa ndoa mpaka nimekata tamaa maana hakuna mabadiliko. Yani haoni kama anapaswa kubadilika, kipato changu mimi hakitoshei majukumu ya nyumbani (nalipwa laki na nusu tu kwa mwezi)
Hebu nishaurini nifanye nini wana jamvi kabla sonona haijanimaliza
Gari ni yake alipewa na mdogo wake ili aendeshee maisha. Anatoka nyumbani saa tatu asbh anaenda kwao (gari analaza kwao) kidude anakiwasha mchana anadai ndo hakuna foleni, ikifika saa kumi na moja jioni anakizima anasema jioni ni foleni barabarani hasara. Akipata mteja anakopa liten la kuweka mafuta akimaliza ruti analipa (mara nyingi anamuomba mama yake hapo kwao kisha akirudi anamrudishia) Tunakaa kwny nyumba ya mdogo wake (mdogo wake anaishi UK). Nyumbani anarudi saa moja au mbili usikuKuna swal.nimekuiliza hijajibu na kuna mdau pia kakuuliza swal.hilohlo hijajibu?
Isije ikawa.kampen.ya kudhalilisha wanaume humu jukwaan
Aya ya mwisho inaonesha kuwa huyu rafi yako ni wewe. You can edit that.Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza...