Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,714
- 4,074
mmmh kuna mambo yanahuzunisha kwakweli, at the age of 50 bado mtu hajitambui?!!Me 50 na ke 43
Anachagua masaa ya kufanya kazi na hela hana? Makazi menyewe kasaidiwa. Kweli?! Na ni mume?!!Aya ya mwisho inaonesha kuwa huyu rafi yako ni wewe. You can edit that.
Kuhusu ushauri; sisi wanaume tunajituma sana hapo kuna tatizo hujagundua. Jaribu kuchunguza vizuri na kwa kuongea naye. Kuna vitu vinamkata hamu ya kujituma.
Kwamba amekuoa miaka mitatu iliyopita ina maana ulikua na 40 na yeye 47...Me 50 na ke 43
Mkuu ukifika miaka 50 unawaza future ya kazi gani tena?? Ni kumalizia tu maisha yaliyobaki urudi kwa muumbaAnachagua masaa ya kufanya kazi na hela hana? Makazi menyewe kasaidiwa. Kweli?! Na ni mume?!!
Does he even think of his future let alone his family?!
Kama hujui kuendesha gari, jifunze udereva upate leseni na kukisajili bolt halafu wewe uanze kuendesha hiyo Bolt. Utaacha hiyo kazi ya mkaa na kuendesha bolt full time mchana, usiku unampa mbususu ajipigie. Hela itapatikanaGari ni yake alipewa na mdogo wake ili aendeshee maisha. Anatoka nyumbani saa tatu asbh anaenda kwao (gari analaza kwao) kidude anakiwasha mchana anadai ndo hakuna foleni, ikifika saa kumi na moja jioni anakizima anasema jioni ni foleni barabarani hasara. Akipata mteja anakopa liten la kuweka mafuta akimaliza ruti analipa (mara nyingi anamuomba mama yake hapo kwao kisha akirudi anamrudishia) Tunakaa kwny nyumba ya mdogo wake (mdogo wake anaishi UK). Nyumbani anarudi saa moja au mbili usiku
Mimi nipo kwny stoo ya mmama anauza mkaa ndio nauza hapa napata 150k kwa mwezi
Nadhani nimejibu maswali yako, nilikuwa mbali na mwenye simu
😂Mna miaka mingapi, huenda wote bado watoto so mwenzio anaenda kucheza ps kwao
Duuuuh hapo jua limekwisha elekea kuzama, pole sanaMe 50 na ke 43
Hilo nalo neno!Mkuu ukifika miaka 50 unawaza future ya kazi gani tena?? Ni kumalizia tu maisha yaliyobaki urudi kwa muumba
Bila shaka huyo kwanza atakuwa Toto la mwisho.Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza...
Nimeolewa miaka mitatu iliopita na mume wangu ni dereva wa bolt. Tatizo kubwa alilo nalo ni hajitumi, yani anaweza kulala siku nzima nyumbani na akaona ni sawa tu.
Anapenda sana kwenda kwao, kila siku lazima aende kwao, atashinda huko jioni ndo arudi tunapoishi. Hz tabia mimi zinanikwaza na kuniumiza sana maana maendeleo tutayasikia kwa jirani. Hamna future yoyote katika maisha yetu. Na huko kwao sio kama anakazi anafanya nope, ni aidha ashinde tu jioni anaende kucheza draft kijiweni au amuendeshe mama ake kwny safari zake za kila siku.
Nimeongea nae, nimeshirikisha wasimamizi wa ndoa mpaka nimekata tamaa maana hakuna mabadiliko. Yani haoni kama anapaswa kubadilika, kipato changu mimi hakitoshei majukumu ya nyumbani (nalipwa laki na nusu tu kwa mwezi)
Hebu nishaurini nifanye nini wana jamvi kabla sonona haijanimaliza