Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
sasa ulifikiri alikuoa wa nini? angekuwa anahitaji mtu wa kupiga naye story angekuoa? sehemu kibao tu unaweza kupiga story ukaridhika wala asingekuoa.Habari wana Jamii,
Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.
Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.
Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.
Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.
Nawapenda nyote.
Tupo mkuuTeam "Kataa Ndoa" washafika hapa?
Habari wana Jamii,

Nilikuwa nacheki tu kama mshawakilisha.Tupo mkuu
Sasa ushayavulia nguo maji, unaweza nawa miguu, unaweza ukapiga passport size au ukayaoga kabisa, uamuzi ni juu yakoNiwe muwazi, ckuliona hill kwasababu kwenye uchumba kuna mambo mengini San huwezi mjuw mtu vizuri hadi uishi nae
Pole Sana aiseee naona most of men wanapata shida kuelewa sababu wao sex n kila kitu kwao tofauti na wanawake sex should be there but other things must be there too .Yaana katika maisha yangu sex sio kila kitu kwangu labda ndo sababu naumie hivu mume wangu kitandani yuko vizuri ila siyo romantic. Hii ndo inaniuma mimi
Kiongozi, sijui wewe ni ndg yangu!? Umenigusa Sana!Sijui nimekuelewa, Nilichoelewa ni kwamba mumeo hana muda wa kukushirikisha/kujadiliana chochote hata kama kuna uwezekano wa kutokea hatari/madhara.
Nakumbuka hii hali nikiwa nakuwa mama alikuwa akilalama kutoshirikishwa au kutokuongea as family na mzee. Madhara yalionekana kwa baadhi ya mambo ambayo yalikuwa ndani ya uwezo wa mama ila kutokana na hali hiyo ilikuwa ngumu kwake kufanya chochote. Mzee kaja kuchange jua lishazama na mambo mengi yameshavurugika. Hata taarifa tu kumshirikisha mwenzie ilikuwa changamoto, ye ni kufoka tu baada ya madhara. Hii kitu mpaka nakuwa najitambua niliona mwenyewe mzee alikuwa anazingua kwanza hakubali kushaurika mpaka kesho hii tabia anayo, atatafuta solution baada ya mambo kuharibika ndio ataanza kusema sasa hapa tunafanyaje. Mambo mengi yamefeli kwa sababu hiyo.
Sio kila kitu ni cha kushirikishana/kuongea ila kuna mambo ambayo ni vizuri kushirikiana na mwenza wako kama familia.
Umeongea point sana.Nilikuwa nacheki tu kama mshawakilisha.
Haya mambo inabidi kuchunguzana vizuri katika uchumba.
Unanikuta mimi napenda kuzungumza mambo ya Wall St. Journal, COP28, quantum computing and banking security, antibacterial resistance, water wars, GDP per capita and its significance, etc, halafu unakuja kunikuta niko na mtu hatuna chochote in common cha kuongea zaidi ya vigodoro. Kazi ni kudinyana mwanzo mwisho.
Sasa hapo kwenye uchumba mnapitaje mpaka mnakuja kustukiana kwenye ndoa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkizidisha urafiki Mwisho utampanda kichwani inaonekana mumeo ni mtu wa misimamo ashakutambua kwamba akikuletea mazoea hata sex utaanza kumpangia ratiba hamchekewi, kuishi na ninyi inabidi uwe na tahadhari bila hivyo lolote laweza kutokea
Jana kuna Mzee kachoma nyumba yake kamletea mkewe mazoea mazoea wamezaa mtoto wa Mwisho eti Mwanamke hataki kumpa anamwambia mtoto sio wa kwake alafu ni mke wake wa Ndoa, Mzee Marwa kachoma nyumba Moto hadi imekua majivu kwa hasira
Kachoma nyumba kwa hasira kisa mtoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee Marwa
So unawasema wanaume waliotunza maisha yao alafu wewe uliyaharibu na kuolewa bila bikra ndo wa kuwacheka? Hata kama umetubu , this is lack of respect to the Lord Jesus Christ. Unapromote uasherati kabla ya ndoa kiaina.Kuna wanaume wapo hivyo hata ukiwa unapika anakuita njoo chumbani [emoji1787]
Alafu umkute ni yule asiyejua kukuandaa lazima uchukie ndoa...
Huyo ni chaguo lako, chaguo lako..haka ni ka kawimbo [emoji1787][emoji1787]
Duh, kwa ulikuwa unalia Hadi machozi yanakauka unabaki kumuachia Mungu tu!? HahaaaNiliwahi kuwa na x wa hivi jamani usikatize mbele yako kakudaka
Na energy yupo full
Kwa usiku mmoja ukimchekea anakukula hata vitatu vile vya dakika 40 40
Na alikuwa amejaaliwa Dhakari kubwa
mashalaah
Basi alikuwa ni kampa kampa tena anapenda sex vibaya sana
We dada ongea naye taratibu ila vinachoshaga sana usisahau kilainishi utaenjoy kidogo [emoji14]