Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Ukiona hivyo yako mnatoo alafu hayo mambo madogo tu sister wewe deka tu legeza sauti hiyo uone km hata anza kujichekesha..
Punguza minuno dekaa na legeza sauti kabisaa.
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Akipiga kimoja Chali cha dakika moja kama jogoo, ashindwe kurudia mpaka mwezi mzima, ungekuja tena hapa kulalamika ungesema hana nguvu za kiume. mnachotakaga ni nini nyie wanawake?
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Marufuku kulala na chupi.
 
raha ya ndoa changa kila ikisimama unaweka ikisimama unaweka tena,ni mwendo wa bafuni ukirudi unageuza unaweka tena
 
Tukifikiri mbali zaidi huenda anafikiri akikuchosha ndio njia pekee ya kuzuia usitoke nje ya ndoa, labda 🤔

Ama anatatizo la prolonged Ejaculation, Ila anadhani kwamba ana nguvu za kiume, labda 🤔

Ama pengine ni moja ya watu wachache wenye high sex drives, labda 🤔

Sasa kama uko smart kichwani, kwanza kubali kwamba unapitia mateso then tumia Weakness yake ya sex mpaka aweze kukusikiliza..

Kama bado hujaisolve hii kesi na bado haujui cha kufanya, Karibu P^M Tupeane mawazo .
 
Wanawake hawaeleweki mara kama rafiki mara kama mwanaume wa ndoa tusimameje sasa
 
uongee naye nini zaidi ya kutafuta watoto, tena umesema mwenyewe anatoa matunzo. Hiyo papuchi kazi yake ni kuchakatwa mpaka ilete ubini wake.

Ukimnyima na akikuheshimu anaenda Kwa machangu otherwise talaka inakufaa.

We unafikiri wale mabikira 72 huko mbinguni inamaanisha nini kama si kuchakatwa.
 
Tatizo wewe ni mtamu na mzuri sana
Kwamfano mume wako angekua anapenda chakula fulani usingempikia Kila siku?
Wanaume wanapenda ngono muda mwingi wanawaza ngono ukimpata muaminifu ambaye hachepuki hasira zote zinaishia kwako!
Pastor mgogo aliulizwa Hilo swali' alijibu hivi nenda katoe sadaka kamshukuru Mungu umempata mume rijali
Ingekuwa Kama Yuko rafu sana anakuchubua halafu anakua kauzu angalau tungeweza kujadili.
Pia wanawake mnashondwa kutofautisha kati ya kudeka kuringa kujibebisha na kiburi na kununa, wengi wanaleta kiburi na kununa wanadhani huko ndio kuringa matokeo yake anasema utaona usiku, sio wewe tu hata mie wangu analalamika hivyo mpaka Kuna wakati mtu unawaza kuchepuka ili usimsumbue
KIPI BORA ACHEPUKE AU UWE UNAMPA KILA SIKU? huo sio utumwa ndio maana mabinti wa ukanda fulani wanasifiwa sana kwasababu wanajua juiumu lao ni kumsatarehesha mume
Lila siku ninamwambia more wangu nyinyi no chombo Cha starehe kazi yako ni kumsatarehesha mume kibaolojia tukisema tufanye pale mwanamke anapokuwa na hamu tu wanaume watapunjwa sana na ndio maana biblia inasema mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Kama unataka KUPIGA nae story wewe muite muongee mnakaa pamoja mbona inawezekana hataka Kama ninkauzu kiasi gani atakupa ushirikiano tu.
Mke wangu anajua kauli mbiu yangu. Mapumziko ninsiku za hedhi tu...
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Mungu akupe nn. Wapo wenzako wanalalamika hawapigwi mti vizuri. Na wanaamua kuchepuka
 
Back
Top Bottom