Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

@po
Nipo
Nilikuwa nauguza mama since Feb, amefariki ss
Ndo maana ulikuwa hunioni
So tinapitapita kupunguza stress

Du pole sana mtu wangu kwa kumpoteza mtu muhumi, Mungu akufanyie wepesi pole tena
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Tafuta mshenga mwambie aweke kidhibiti mwendo
 
Mfuate hukohuko kazini mzungumze...au mtoke date mzungumze njiani...mambo mengi yanaweza kufanyika nje ya chumba...
 
Mtoa mada ana hoja asikilizwe,kitu anachosema ni cha kihisia zaidi.
Unasukuma ukuni hakuna kupeti peti wala kupiga umbea kidogo,mme na mke ni marafiki sasa we unakuwaje una piga ukuni tu?
Mi nakushauri dada mchukulie kama alivyo,kwa maana hakuna mkamilifu tunavumiliana.
Utakuta mwingine anajua kupeti peti ila kitandani ni zeru,mwengine haudumii familia kikubwa jitahidi kukubaliana na hiyo changamoto.
Pole sana mama watoto,cheza na watoto wako wanaleta faraja sana.
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Wanawake mnataka nini lakini mbona kila kitu kwenu ni shida huyo mtafutie mke wa pili wewe atakuua kwa show shosti
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
KamojaTu.jpg
 
Pole sana
 
Kaona huna contents za maana bora afanye kitu ambacho hamtakwazana, unaongea rubbish tu zinazoboa! Ushauri msome stori gani anapenda na ujiboreshe huko sio ulazimishe unazopenda wewe hasa udaku wanaume wenye ndoa hawapendi kbs km ulijizoesha hayo jiboreshe sasa kwa kuyaacha na kwenda na anazopenda yeye
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Huduma si unapewa?
Sex si unapigwa miti?

Unataka mzungumze nini tena?
Hamna tena kampeni baada ya mtu kushinda uchaguzi.

Mzungumze nini kama sio umbea?
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Atakizoea tu ni swala la muda...na akikichoka atatafuta Mchepuko ili ubaki free kabisa
 
Hakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.

Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Ntasikitika sana kama mtoa mada atakubaliana huu ujinga hapa 👆🏻
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Si ni nyie hawa hawa huwa mnasema kama ugali hata nyumbani kwetu upo? Sasa leo unapelekewa moto unaanza tena kulalamika? Wanawake hamjui hata mnachokitafuta!
 
Back
Top Bottom