Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
- Thread starter
- #261
Anatoka asubuh kurudi saa5 usiku hana jmosi wala jipil wala sikukuuHapo ndo nashindwa kumuelewaaa.. Yani kuongea ba mkeo huwa inakuja very automatic labda kama jamaa hashindi nyumbani anarudi saa 8 za usiku.. maana unaweza kuwa unaangalia video mnaongea.. ukishapiga chako wanawake wengi ndo huanza kuleta story paleee hapo utaombwaa helaa kama sio mahitaji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] labda hizo story jamaa anazikwepa sanaa