Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Hapo ndo nashindwa kumuelewaaa.. Yani kuongea ba mkeo huwa inakuja very automatic labda kama jamaa hashindi nyumbani anarudi saa 8 za usiku.. maana unaweza kuwa unaangalia video mnaongea.. ukishapiga chako wanawake wengi ndo huanza kuleta story paleee hapo utaombwaa helaa kama sio mahitaji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] labda hizo story jamaa anazikwepa sanaa
Anatoka asubuh kurudi saa5 usiku hana jmosi wala jipil wala sikukuu
 
Jukumu la mume ni kumtunza mke na familia jambo ambalo umesema anafanya.

Sex ni moja ya jambo lililomfanya akuoe. Kama unaona anakusumbua mpe ruhusa awe na bi mdogo ili uwe unapumzika. Sio wanaume wote tuna uwezo wa kuwa na urafiki wa kucheza kuchikuchi hotae na wake zetu nyumbani.
Nime kuelewa sana
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Wewe ilitakiwa umpate wa kimoja Chali wiki inapita.
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Pole sana na pongezi sana kwa kumpata na kumuhudumia mume asie na mchepuko....

Mwenzio ameshajua na kubaini ladha yako ya kimwili ilipo na naamini hachelewi kurudi home usiku hata kidogo...
Mvumilie kidogo tu atabaini ladha yako ya kiroho kisha ndoa yako itakua bam bam zaid hutojuta....

Katika hali ya ustahimilivu, hebu jitahidi tahidi kurelax na kujitoa bila kujibakiza na hapo itakua ni fursa nawe kuanza kubaini ladha yake ya kimwili na hatimae kiroho.....

Tafadhali usichoke, ukiona maumivu ni makali sana ujue utamu shangwe na vigelegele vimekaribia. Kamatia na kushikilia apoapo....

Kuna watu wanatamani hiyo fursa na hawaipati...
Tumia fursa hiyo vizuri, ili ukiikosa mbeleni usijute....

Tambua uko wew pekeyako, hongera sana...
 
Kama ndoa bado mpya wewe furahia itafika mda utaanzisha uzi mwengine mune wangu hanipi akinipa kimoja tukuoe ushauri kabla hujafanya uamuzi. Kikubwa ukitumia uanamke wako vyema utakuwa mke, rafiki, mshauri, business partner na mtapeana hata umbea.

Kwa sasa acha arudishe mahari
 
M
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Unaumia sana umesema.
Sa me naomba ufafnuzi kdg, unaumia sana sehem za siri kwasbb jamaa anazitumi sana au unaumia nn ?
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Yaani.
Kipindi ulivyokuwa kwenu malalamiko eti ni kuongea tu hakuna anaanaanado,umetoka kwenu ili upewe ulichokuwa unakikosa malalamiko tena.
Anyway,mchukue mkakae naye kwenu ili mshauriane mbele ya wazazi wako.
 
Back
Top Bottom