Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Huenda ni ndoa mpya na mume bila shaka ni mtu ambaye yupo busy sana.Mume anaonekana ni selfish sana mtu asiyejali kuhusu hisia za mwingine kama yupo kwenye mood ama laa.kwenye ndoa Kuna vitu vingi Ambavyo ni tofauti na kwenye tamthilia zinazoelezea mambo ya ndoa.ukisikia wanatangaza zile semina za wanandoa au clip zinaelezea hizo habari mshauri alipie muende.jaribu kuhudhuria kwenye social event mbali mbali kama wedding,outing kwenye Maeneo ambayo atakutoa out mara moja moja anaweza kubadilika taratibu.usipomweleza kuwa hufurahishwi na jambo fulani no way anaweza akafahamu,Kwa hiyo ni vyema umwambie Nina mazungumzo na wewe,hata sex inatakiwa iwe na utaratibu na ratiba maalumu.
 
Haya maswala si ya kuleta mtandaoni, heshimu faragha yako, una wakubwa kwenye familia yako. Huyo ni mumeo, tunatarajia utaishi nae miaka mingi ijayo, lazima ujue kuongea nae, haiwezekani mtu wa nje aje akuelekeze jinsi ya kuongea na mumeo.
Ila utazoea ni jambo la kawaida, wewe si wa kwanza kulalamikia intensive sex.
 
Hapo na kibamia changu nikija naogelea tuu.
 
Muongeeee kwani ye mwandishi wa habari....??pigakazi wengine wanakesha kwa kuhanimussa kuombeaa waumee zaooonumeme umegomaaa tumika ukikatika huooo utaulilia milele
 
Tena hapo ni afadhali inamaana hapo ilibaki kidogo badala ya kuchoma Nyumba angechoma huyo mwanamke wake na huyo Mtoto wa mchepuko [emoji14][emoji14]
Mwanamke kakimbia na mtoto hataki kurudi nyumbani na hio nyumba inavyosemekana Mwanamke anasema ni yake kwa hio bwana Marwa kaona isiwe tabu kaipiga kiberiti
 
Qality time wanawake wemgi wanaikosa kwenye ndoa lakini wanaihitaji sana.

Wanaume wengi hatujui kwamba kuna muda inahitaji tukae na wake zetu,tuwasikilize tena tukiwa tumeweka pembeni kila kitu kama vile simu na remote ya tv.

Unakaa unamtizama machoni na kureact kutokana na anavyosimulia mkeo.

Kama ni sehemu ya kucheka unacheka,kama ni sehemu ya kushangaa unashangaa,kama ni sehemu ya huzuni unajitia huzuni,kama ni sehemu ya kulaumu unalaumu.

Huo ni muda ambao wanawake ukiwapa japo kidogo kila mnapokutana basi atakuthamini zaidi.

na huo ndio urafiki unaokusudiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…