Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea


Kwa hiyo wakati mwingine unaukalia kwenye kochi? Au bafuni unakula mtalimbo huko huko unaingia na mapovu ya sabuni?
 

Ina maana hata wageni wakija kuwatembelea wanakuta mpo kwenye mtalimbo? Au mnawakaribisha sebuleni halafu nyinyi mnaingia kwenye mtalimbo? Basi huo utakuwa umepinda kama NDIZI!
 
Inasikitisha sana wanawake apa mnatuchanganya wanAume maana hamna mnachokikubari kuperekewa moto maradufu ama kimoko chali bila kuridhishwa sasa mnataka kipi
 
Post ya kwanza inasema kazi ya mke sio kulalwa lalwa muda wowote bila lingine. Imesapotiwa na watu 50.

Post ya pili imesema wewe umeolewa, kazi yako ni chombo cha ngono, muda wote, imesapotiwa na watu 60.

Kwa hiyo jamii yetu wengi tunaamini kazi ya mke ni kulalwa, penda usipende, una mood huna mood, kuna urafiki, companionship na mahusiano mengine au hakuna
. Umeolewa utalalwa, utapika, utapanga maua, utapangusa watoto makalio. Plain and simple.

Very very very very primitive society!
Heathens, washenzi, cavemen, kiupeo hatujaondoka mapango ya Oldonyo Lengai
 
Omba talaka
 
Unataka aongee na wewe nini amekuoa ili akupge mashne so kaa kwa kutulia upgwe pumbu
 
Ndicho ulichofuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…