Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Wanawake huwa siwaelewi... huyu kabla ya kukuoa ulikua humjui?? Ulikurupuka kuolewa nae kwani? Kama hukumjua sasa hilo ni tatizo lako na kama ulimjua ulitegemea kumbadilisha jinsi alivyo??
 
Ukikaa na sisi tuangalieni sn
Ukiona tunaongea nawe hk mkono upo Chamwino jiandae
Ukiona tunaongea hk kiuno kinaenda kulia kushoto jiandae
Ukiona tunachezesha miguu na spidi inaongezeka jiandae

Ani kwa kifup JNHPP ikijaa ni kazi tu stor piga na wanawake wenzio
 
Habari wana Jamii,

Napitia maumivu sana kwenye ndoa yangu naomba kuwashirikisha hii kabla sijachukua maamuzi magumu.

Jamani nahisi kama Mume wangu hana mapenzi na Mimi Huduma anatoa kila kitu lakini hanipi muda wa kukaa tukiwa pamoja ni kusex tu.

Jamani hii kitu inaniuma sana, nimeshazungumza nae mara kadhaa lakini habadiliki sasa nashindwa kuelewa. Labda wanandoa mje nifafanulie hili.

Je, MTU mkiwa kwenye ndoa hakuna kukaa kama marafiki?
Naombeni mnishauri naumia sana.

Nawapenda nyote.
Acha ushamba, tumia hiyo fursa kuongea nae tena akikaribia kumwaga hapo ndio eleza shida zako zotee njoo nikupe darasaaa,

Shukuru sana, mnogeshe mpe vitu adimu tumia ubunifu alaf katikati ya sex mwaga sela zako kwa sauti ya mnato ya kudekaa, au ukiwa unabembeleza mic kwa kuibusubusu unamwaga sera zako hapooo,

Usichoke plz uliolewa ili ufanywe so usilalamike rafk, furahiaaa
 
Back
Top Bottom