Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Makalio yanataka hudumaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mke wa mtu sumuu hamuelewiii ona sasa u anaingiaa aibuuHapo dawa ni kumtafuta mwenye mke akukune na uoob wake ndio muwasho uishe venginevyo makalio yatajaa kama simtank!.
Utakua na minyoo kapime minyooHabari Ndugu zangu naombeni msaada wenu juzi nilichepuka na mke wa mtu ndugu zangu sasa kinachonitia hofu ni hii hali ya kuwashwa makalioni. Hii hali inanitesa na hii leo siku ya pili nimenunua mpaka sabuni ya dettol lakini bado muwasho ni mkali sana. Nimeanza kupata mashaka kuwa yule mwanamke aliwekewa tego au uchawi maana hali hii imeanza kunipata baada tu ya kula tunda. Nisaidie ndugu zangu, naogopa sana wife akishtukia mchezo. Sasa hapa najiuliza nikamuombe msamaha jamaa au nifanyeje ili hali hii iishe NATESEKA SANA JAMANI
Hivi kijana unafikiri Mungu hana kazi za kufanya?Duuh pole sana
Hali unayopitia inaumiza ila mungu atakusaidia
dalili za bawasili hizo wewe! kuota kinya kwenye kinyelo, na kutokwa na damu wakati wa kijisaidia! nenda hospital, puuza! ujionee!Habari
Ndugu zangu naombeni msaada wenu juzi nilichepuka na mke wa mtu ndugu zangu sasa kinachonitia hofu ni hii hali ya kuwashwa makalioni.
Hii hali inanitesa na hii leo siku ya pili nimenunua mpaka sabuni ya dettol lakini bado muwasho ni mkali sana.
Nimeanza kupata mashaka kuwa yule mwanamke aliwekewa tego au uchawi maana hali hii imeanza kunipata baada tu ya kula tunda.
Nisaidie ndugu zangu, naogopa sana wife akishtukia mchezo.
Sasa hapa najiuliza nikamuombe msamaha jamaa au nifanyeje ili hali hii iishe NATESEKA SANA JAMANI