fullcup
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 809
- 2,204
Ndio basi tena ila kuna wataalamu wanateguaHatari! Mfano mwenye mke kafa, inakuaje hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio basi tena ila kuna wataalamu wanateguaHatari! Mfano mwenye mke kafa, inakuaje hapo?
Kama umeoa nayo tena mpaka utoe hayo mashirk tena?Ndio basi tena ila kuna wataalamu wanategua
haiwezekaniHapo utakuta mwenye mke wake anakupekecha usiku,ukiamka asubuhi hauogo,shahawa zake zinaanza kukuwasha[emoji2089]
Kama umeoa nayo tena mpaka utoe hayo mashirk tena?
Hii ni hatari kubwa!
Ngoja nishirikishe mtaalammkuu maelezo niliyotoa yanajitosheleza we nisaidie
Ahsante kwa elimu!Wanaotegwa ni wale walio kwenye ndoa zao
Mkuu au ulitaka kuandika Astaghafirullah?Astakafullah......
Naona wanaume tunazidi kupungua kwa kasi wallah
Ndio mkuu..... Na tatizo mimi m-makonde, na kiarabu tafrani tupu...tehMkuu au ulitaka kuandika Astaghafirullah?
Habari
Ndugu zangu naombeni msaada wenu juzi nilichepuka na mke wa mtu ndugu zangu sasa kinachonitia hofu ni hii hali ya kuwashwa makalioni.
Hii hali inanitesa na hii leo siku ya pili nimenunua mpaka sabuni ya dettol lakini bado muwasho ni mkali sana.
Nimeanza kupata mashaka kuwa yule mwanamke aliwekewa tego au uchawi maana hali hii imeanza kunipata baada tu ya kula tunda.
Nisaidie ndugu zangu, naogopa sana wife akishtukia mchezo.
Sasa hapa najiuliza nikamuombe msamaha jamaa au nifanyeje ili hali hii iishe NATESEKA SANA JAMANI
Mfanyakazi wa NASA (USA) anapowashwa akiwa Chanika Dar......
Hahahahahah watu mnamtisha mwenzenu....Hapo dawa ni kumtafuta mwenye mke akukune na uoob wake ndio muwasho uishe venginevyo makalio yatajaa kama simtank!.