fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
DuuhHivi kijana unafikiri Mungu hana kazi za kufanya?
Muulize kipindi anakata mauno kama kombeo Mungu alihusika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuhHivi kijana unafikiri Mungu hana kazi za kufanya?
Muulize kipindi anakata mauno kama kombeo Mungu alihusika?
Acha urongo!Watafute wataalamu wa jadi wakusaidie ukichelewa utaanza kutoa malenge lenge na baadae vidonda vikubwa na mwisho kifo.
Ukienda kuomba msamaha, jamaa atakuambia dawa yake ni mbegu zake. Kama upo tayari kupasuliwa yai nenda kayamalize ili kunusuru uhai wako.
Na bahati mbaya utapewa ratiba ya kupasuriwa yai kila wiki Mara moja, hutaki unakufa.
Habari
Ndugu zangu naombeni msaada wenu juzi nilichepuka na mke wa mtu ndugu zangu sasa kinachonitia hofu ni hii hali ya kuwashwa makalioni.
Hii hali inanitesa na hii leo siku ya pili nimenunua mpaka sabuni ya dettol lakini bado muwasho ni mkali sana.
Nimeanza kupata mashaka kuwa yule mwanamke aliwekewa tego au uchawi maana hali hii imeanza kunipata baada tu ya kula tunda.
Nisaidie ndugu zangu, naogopa sana wife akishtukia mchezo.
Sasa hapa najiuliza nikamuombe msamaha jamaa au nifanyeje ili hali hii iishe NATESEKA SANA JAMANI
Sawa subiri mrejeshoAcha urongo!
Mrejesho utakuwa ni Fungus. Muhimu aache zinaa.Sawa subiri mrejesho
Baba hiyo ni shirki muambie awahi kwa sangomaMrejesho utakuwa ni Fungus. Muhimu aache zinaa.
Albadri hiyo inafanya kazi/QUOTE]
Umejuaje? Wewe ni Sangoma?Baba hiyo ni shirki muambie awahi kwa sangoma
Tulimzika jirani aliyeanza kuwashwa na mkuyenge. Baada ya muda ukaanza Kubota vidonda na mwisho wa siku ulioza wote na kubaki na shimo tu. Alikufa akiwa na shimo tu na wakati wa msiba nilisikia alikula mke wa mtu aliyetegwa.Umejuaje? Wewe ni Sangoma?
Hatari! Mfano mwenye mke kafa, inakuaje hapo?Tulimzika jirani aliyeanza kuwashwa na mkuyenge. Baada ya muda ukaanza Kubota vidonda na mwisho wa siku ulioza wote na kubaki na shimo tu. Alikufa akiwa na shimo tu na wakati wa msiba nilisikia alikula mke wa mtu aliyetegwa.
Kwa maelezo hayo, nimeunganisha nukta
mkuu maelezo niliyotoa yanajitosheleza we nisaidieUnawashwa juu makalioni au hapo katikati kwenye mnduku/ honi?!
Sema tatizo lako kwa watu wakusaidie