mapozi baby
Member
- Jun 26, 2015
- 50
- 13
Vp alikuwa ananyonya kidole cha mguu?
Mtafute dk bakki pale kibaha hospital ya mifupa hutajuta
Yesu akutangulie
mwanangu mguu wk mmoja km umepinda kdg nimejaribu kumpeleka ccbrt bt kila ck wananipiga kalenda mara njoo baada ya miezi mi3 mara miezi 6,ht cielewi nifanyeje na mwanangu naogopa atapata kilema cha maisha,sahv anamiaka miwili na nusu.km kuna mwenye ushauri ansaidie plz.
heri wa kwkwo wangu hana nguvu kwa kiuno na analingana nawako na hasimami wala hatembei sasa nashinda kwa maombi tu
heri wa kwkwo wangu hana nguvu kwa kiuno na analingana nawako na hasimami wala hatembei sasa nashinda kwa maombi tu
Poleni sana wenye watoto wenye ulemavu,najua vile inakuwa kwa maana nilijaaliwa mtoto Wa ivo na kwa Neema za Mungu amenyooka.alikuwa na clubfoot au talipes sasa yuko vema.
Mpeleke kwa huyo daktari Wa mifupa.
Wangu alikuwa akipata matibabu ya kunyooshwa kwa wiki hadi alipofanyiwa upasuaji na kupewa viatu maalumu.

ulimtibia hsptl lpi mkuu?
Wangu hana mvungu kwenye mguu wa kushoto. Nimempeleka ccbrt but nataka nimpeleke kwingine. Naomba details za madaktari engine.
Wa kwako alikuwa na tatizo gani na ulimpeleka wapi?
Wangu hana mvungu kwenye mguu wa kushoto. Nimempeleka ccbrt but nataka nimpeleke kwingine. Naomba details za madaktari engine.
Wa kwako alikuwa na tatizo gani na ulimpeleka wapi?
Ile material inayotumika kwenye viatu hivyi vya ccbrt kiukweli sijapenda.Me wakwangu pia hana mvungu kwny mguu wa kushoto,nimempeleka ccbrt wanazingua na me ningependa kujua nijaribu wap kwingne mwanangu apone km hl tatizo linatibika aisee.