Msaada: Mwanangu kala kinyesi chake

Msaada: Mwanangu kala kinyesi chake

Kwani kinyesi alichokula si ni cha kwake?,km ni chake sidhani km kuna madhara.
 
Siku zote mtoto hata mkubwa anapokula chochote chenye kutia wasiwasi juu ya kudhuru afya yake anapaswa kuwaishwa kupewa maziwa fresh ya ngombe au mbuzi, baada ya hapo akimbizwe hospitali, epuka ushauri wa mambo ya kiimani mtadhurika bure.

Ni kweli ila sio kila kitu anachokunywa mtoto anatakiwa kutapishwa. Mfano mzuri ni mafuta ya taa;watoto wadogo wanakunywa sana mafuta ya taa, ambayo mzazi anakua ameeka kwenye chupa haswa chupa iliyokua na maji ya kunywa. Watoto hao hutapishwa,na fumes au matapishi kiasi huingia kwenye mfumo wa hewa/mapafu na kusababisha kifo.
 
Mpe maziwa, huo ni uchafu tu wala hamna sumu yeyote. Mpe maziwa afu mpeleke kitandani alale akiamka atakua poa
 
No harm kabisa. Ni sawa na kuokota kiatu akalamba upande wa kukanyagia. Its normal dirt tu kama immunity ni kubwa itaflush out yenyewe otherwise ataharisha kidogo kama other toxins za mwili.

Hivi kweli kwa karne hii unaweza kuwa na imani tofauti na kuanza kukiweka ili nawe uonje??seriously?

Kuwa na amani sana yupo sawa--Ukiwa na hofu kwa imani yako ya hofu tu ataugua otherwise he/she is perfectly fine.
 
Wakuu heading inajieleza.Je kuna madhara makubwa kiasi gani,nimpe huduma gani ya kwanza?

Kinyesi mara nyingi huwa kinaambatana na bacteria, mfano bacteria wanaosababisha homa ya matumbo typhoid na wengineo. Kwa hiyo kama mtoto amekula kinyesi au uchafu wa aina yeyote ule upo uwezekano wa kushambuliwa na bacteria na hiyo itajionyesha kwa maradhi na kuumwa ambako mtoto ataumwa.
Sasa nini ufanye??
Ni kwenda hospitali na mtoto afanyiwe checkup ya mwili mzima, afanyiwe vipimo vingi kujua status ya afya yake na apatiwe tiba
Rudia hiyo kila baada ya mwezi au miezi mitatu kuhakikisha madhara yatokanayo na uchafu aliokula hayamzuru sana mtoto wako

asante
 
ushauri ndo huo hapo mwanzisha uzi uchukue na utumie....kwenye stool(choo) kuna milions of bactreria ni wengi kiasi kwamba hawana idada wengiwao ni gram -ve bacteria kama proteus..e.coli...haemophilus influenza na gram +ve kama streptoccocus spp..ivyo basi kwenye utumbo mpana wanakuwa normal flora(hawana madhara) ila ukiwa amisha kwenye eneo lao la asili kwenda sehemu nyingine shughli ndo ina anza...japo nampa 45% zaku pata infection..!! kuthibitisha hilo ni.kwamba ata maabara wakifanya culture ya ugonjwa wwte uwa hawatumii choo kama specimen bali hutumia damu ...sababu kwenye choo utapata bacteria wote duniani..kwa vipimo.vinabyo tumia choo ni kama neisseria gonorrohea ambaya ina special.media(thayer martin)

ushauri baada ha kama week.kama atakuwa na mabadiliko yaki afya mpeleke hosptal akafanyiwe vipimo..au tumia antibiotic.
 
Back
Top Bottom