Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
pole sana inatakiwa na wazazi mkilambe icho kinyesi japo kidogo ili mtoto acje kuwa chizi baadae
Eeeeenh!!!!,huo ni uganga wa kienyeji nini?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana inatakiwa na wazazi mkilambe icho kinyesi japo kidogo ili mtoto acje kuwa chizi baadae
usiache kunijibu kaka,ila bado kinyesi kipo kwenye kaptula aliyovaa coz haijafuliwa
kausha kama huna majibuHa ha ha mkuu umeniwahi..
Siku zote mtoto hata mkubwa anapokula chochote chenye kutia wasiwasi juu ya kudhuru afya yake anapaswa kuwaishwa kupewa maziwa fresh ya ngombe au mbuzi, baada ya hapo akimbizwe hospitali, epuka ushauri wa mambo ya kiimani mtadhurika bure.
kausha kama huna majibu
one love mkuuMkuu tupo pamoja bhana,namtakia mtoto afya njema..
usiache kunijibu kaka,ila bado kinyesi kipo kwenye kaptula aliyovaa coz haijafuliwa
Kiranga anaweza akabisha.pole sana inatakiwa na wazazi mkilambe icho kinyesi japo kidogo ili mtoto acje kuwa chizi baadae
Wakuu heading inajieleza.Je kuna madhara makubwa kiasi gani,nimpe huduma gani ya kwanza?
Kinyesi mara nyingi huwa kinaambatana na bacteria, mfano bacteria wanaosababisha homa ya matumbo typhoid na wengineo. Kwa hiyo kama mtoto amekula kinyesi au uchafu wa aina yeyote ule upo uwezekano wa kushambuliwa na bacteria na hiyo itajionyesha kwa maradhi na kuumwa ambako mtoto ataumwa.
Sasa nini ufanye??
Ni kwenda hospitali na mtoto afanyiwe checkup ya mwili mzima, afanyiwe vipimo vingi kujua status ya afya yake na apatiwe tiba
Rudia hiyo kila baada ya mwezi au miezi mitatu kuhakikisha madhara yatokanayo na uchafu aliokula hayamzuru sana mtoto wako
asante
pole sana inatakiwa na wazazi mkilambe icho kinyesi japo kidogo ili mtoto acje kuwa chizi baadae