Princess21
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 272
- 266
Mwanangu anaumwa jamani vipimo vyote kapima vinaonesha hana maleria, wala ugonjwa wowote. Hamu ya kula hana, homa juzi ilikua 38 hospitali wamuandikia sindano za masaa Cristapen nne, alikua anachoma na dawa asprin alipewa kwa ajili ya kushusha homa.
Jana ndio tumeruhusiwa kutoka hospitali, homa imeshuka kidogo lakini bado anapumua kwa shida, kifua kimeanza na mafua.
Dr. Nisaidie hapa nampa Flucomox, Zenakof na panadol syrup ni sawa?
Jana ndio tumeruhusiwa kutoka hospitali, homa imeshuka kidogo lakini bado anapumua kwa shida, kifua kimeanza na mafua.
Dr. Nisaidie hapa nampa Flucomox, Zenakof na panadol syrup ni sawa?