Msaada: Mwanangu kapima vipimo vyote hana tatizo lakini bado anaumwa

Msaada: Mwanangu kapima vipimo vyote hana tatizo lakini bado anaumwa

Princess21

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
272
Reaction score
266
Mwanangu anaumwa jamani vipimo vyote kapima vinaonesha hana maleria, wala ugonjwa wowote. Hamu ya kula hana, homa juzi ilikua 38 hospitali wamuandikia sindano za masaa Cristapen nne, alikua anachoma na dawa asprin alipewa kwa ajili ya kushusha homa.

Jana ndio tumeruhusiwa kutoka hospitali, homa imeshuka kidogo lakini bado anapumua kwa shida, kifua kimeanza na mafua.

Dr. Nisaidie hapa nampa Flucomox, Zenakof na panadol syrup ni sawa?
 
Pole Sanga. Kwa Kifura unaweza Puka ukampa yai bichi ulichanganye na asali Nouri zaidi Kama utapata yai la kienyeji. Mimi Wangfujing alisumbua kiasi Mikapangaro kupewa Trevo Kama umewHi kuisikia au Kama bado mpigie huyu dada atakuelewesha zaidi 0714666221
 
Rekebisha maandishi mkuu. Hiki sio kiswahili

Pole Sanga. Kwa Kifura unaweza Puka ukampa yai bichi ulichanganye na asali Nouri zaidi Kama utapata yai la kienyeji. Mimi Wangfujing alisumbua kiasi Mikapangaro kupewa Trevo Kama umewHi kuisikia au Kama bado mpigie huyu dada atakuelewesha zaidi 0714666221
 
Je umemfanyia vipimo vya mwil mzma......na je wamekwambia mtoto madin na vitamins vipo sawa mwln.......nichek kwa msaada zaidi 0714.912390
 
pcm syrup sio nzuri kwasababu half life yake ni ndogo ukilinganisha na tabs ulilazwa hopitali gani? kwa maelezo zaidi nitafute kwa number 0718115013
 
watoto wanasumbuliwa sana na UTI siku hizi., halafu dalili ya uti kwanza mtoto anapandisha sana homa lakini pia anapoteza kabisa hamu ya kula hata upike nn hataki kula., vilevile mtoto akiwa na uti mkojo wake unakuwa wa njanooooo halafu mzito mzito hauwa mwepesi. siku zingine unapoenda hospitali pima huu ugonjwa kwa mtoto ni janga kabisa hasa kwa watoto.
 
Pole Sanga. Kwa Kifura unaweza Puka ukampa yai bichi ulichanganye na asali Nouri zaidi Kama utapata yai la kienyeji. Mimi Wangfujing alisumbua kiasi Mikapangaro kupewa Trevo Kama umewHi kuisikia au Kama bado mpigie huyu dada atakuelewesha zaidi

Wewe ni kabila gani mkuu?
 
Mkuu nenda kwa Kariuki Hosp muone Dr Najimu atarekebisha hiyo issue ya mtoto. Pole sana.
 
Back
Top Bottom