Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana mkuu 😎Ila Mbaga wewe ni mfukunyuku avaeee!
😂
Miaka mitatu ulikuwa unasoma ufanyaji w mapenzi ili ukafanye kazi wapi mkuu?Hana tatizo lolote lile.
Kuna aina 2 za kumwaga.
1.ejaculation (bao kutoka nje)
2.injaculation(bao kutotaka nje)
Tofauti na mwanamke mwanaume Huwa na uwezo Wa kuamua muda gani akojoe. So inawezekana jamaa hajaamua kukojoa tu kwa makusudi. Pili kuna aina mbili za ukojoaji kama nilivyosema hapo juu. Inawezekana anakojoa Kwa ndani na shahawa azitoki nje.
Kikubwa ni Kwamba katika ufanyaji wa mapenzi mwanaume hatakiwi kabisa kukojoa labda kama analengo la kumpachika mimba mwanamke. Binafsi nimesoma miaka 3 elimu juu ya ufanyaji wa mapenzi kutoka kwa mashaulin monk wa kichina so naelewa nisemacho. Naomba niishie hapo