Msaada: Mwanaume huyu hapigi bao

Msaada: Mwanaume huyu hapigi bao

Hana tatizo lolote lile.
Kuna aina 2 za kumwaga.
1.ejaculation (bao kutoka nje)
2.injaculation(bao kutotaka nje)
Tofauti na mwanamke mwanaume Huwa na uwezo Wa kuamua muda gani akojoe. So inawezekana jamaa hajaamua kukojoa tu kwa makusudi. Pili kuna aina mbili za ukojoaji kama nilivyosema hapo juu. Inawezekana anakojoa Kwa ndani na shahawa azitoki nje.
Kikubwa ni Kwamba katika ufanyaji wa mapenzi mwanaume hatakiwi kabisa kukojoa labda kama analengo la kumpachika mimba mwanamke. Binafsi nimesoma miaka 3 elimu juu ya ufanyaji wa mapenzi kutoka kwa mashaulin monk wa kichina so naelewa nisemacho. Naomba niishie hapo
Miaka mitatu ulikuwa unasoma ufanyaji w mapenzi ili ukafanye kazi wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom