Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

Aliyeelewaa atufafanunulie kwa ufupii
Bi dada anampenz,huyo mpenzi kakulia kijijini ana kazi nzuri na anataka kumuoa bi dada but tatizo linalompa wasiwasi aogope kuingia kwenye ndoa na jamaa ni kwamba jamaa hayupo romantic..anaomba ushauri wako
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wanaume wengine hawako romantic mamy
Sasa mwenzio atajuaje unaempenda jmn....hapa ninawiki naumwa nimelazwa jamaa hata kuja kuniona hamna... hata kutuma 100 ya matibabu hakuna yaan mpaka naona aibu wanaoniuguza wakiuliza mwenzio kaja inabidi niongee uongo kasafir kikazi
 
Matendo yake mf.kuleta chakula kizuri nyumbani, ukimwambia shida yako anakusaidia n.k hii inategemea na hali yake ya kiuchumi.
Kiuchum yuko vzur lkn nikimtolea hata shida anajifikiria Sana kunisaidia.....Kuna kipindi tulienda nae kufanya shipping ,,,alinunua vitu vyake,,, mama yake,,, mdogo ake,,, mi niliambulia kiatu Cha elf 10. Kati ya lak 4

Kuna kipindi cm yangu ilisumbua nikamuomba yake ambayo alikua haitumii akadai inamambo mengi mwez uliofata akamuomba mdogo ake akampa
nililazwa Kama 1wk hv alipo mpaka kufika nauli elf 6 lkn hakuja alikua anapiga cm tu hata elf 10 tu niongezee matibabu hakuna....akipiga cm anashaur jitahid ule matunda na juice hata elf 5 ya matunda hamna
 
Sasa mwenzio atajuaje unaempenda jmn....hapa ninawiki naumwa nimelazwa jamaa hata kuja kuniona hamna... hata kutuma 100 ya matibabu hakuna yaan mpaka naona aibu wanaoniuguza wakiuliza mwenzio kaja inabidi niongee uongo kasafir kikazi
Mmmh huyu kazidi sasa,hii sio kawaida. Hadi ulazwe haonyeshi hata kuguswa,hii hatari.
 
Kiuchum yuko vzur lkn nikimtolea hata shida anajifikiria Sana kunisaidia.....Kuna kipindi tulienda nae kufanya shipping ,,,alinunua vitu vyake,,, mama yake,,, mdogo ake,,, mi niliambulia kiatu Cha elf 10. Kati ya lak 4

Kuna kipindi cm yangu ilisumbua nikamuomba yake ambayo alikua haitumii akadai inamambo mengi mwez uliofata akamuomba mdogo ake akampa
nililazwa Kama 1wk hv alipo mpaka kufika nauli elf 6 lkn hakuja alikua anapiga cm tu hata elf 10 tu niongezee matibabu hakuna....akipiga cm anashaur jitahid ule matunda na juice hata elf 5 ya matunda hamna
Ulishawahi kumuuliza ni kwanini anafanya hivyo?
 
Sasa mwenzio atajuaje unaempenda jmn....hapa ninawiki naumwa nimelazwa jamaa hata kuja kuniona hamna... hata kutuma 100 ya matibabu hakuna yaan mpaka naona aibu wanaoniuguza wakiuliza mwenzio kaja inabidi niongee uongo kasafir kikazi
Uwiiii hapo hamna mtu.
 
Bi dada anampenz,huyo mpenzi kakulia kijijini ana kazi nzuri na anataka kumuoa bi dada but tatizo linalompa wasiwasi aogope kuingia kwenye ndoa na jamaa ni kwamba jamaa hayupo romantic..anaomba ushauri wako
Polee yake na ubaya wake hakuna chuo cha mafunzo ya hiyo kitu
 
endelea nae, lakini tafuta wa kukwambia “i love u” pembeni.
Miaka selasini ushakomazwa uko na mafundi gereji alafu unataka upetiwe na kakijana ka watu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Jaribu kuwashirikisha wazazi au ndugu zake wa karibu , viongozi wa kiroho uone kama atabadillika.
Kuna rafiki yangu aliongea nae sana alinadilika kwa muda wa mwez mmoja tu then akarudia hali yake
 
Back
Top Bottom