Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

Ila nakuambia kuna wanawake wanapenda attention.

Simu yenyewe itapigwa three times kwa siku.

Usipo piga ananuna...lawama zinaanza.
Three times kwa siku mbona chache jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nishapenda labda wangu akizingua....wacha nikuweke km pori la akiba baadaye unaweza kuwa hifadhi kabisa😛😛😛😛
Tafadhali usinisahau. Anza kunizoeaha niishi maisha ya mapenzi kama unayoyajua ni sahihi kuyaishi. Wengine twajiendea tu na kubadilika ni mtihani
 
Kanituma nikuambie kuwa anasemaNakupenda sana kuliko uji na mgonjwa! Haya, umefurahi?? Dada, mambo mengine ni kufundishana tu. Usimwche ati kwa sababu tu hajui mapenzi. Kuna wengine ni kama jogoo na kuku. Fukuzanaaa halafu akikukamata hata kama ni jikoni, mnamalizana humo humo. Furahi huyu wako anakufikisha kilele tu. Huwezi kumpata mwenye vyote, vingine unavyo vitamani, jiongezee mwenyewe ukiwa naye.
Kwanza umesema kuwa ukitaka ajipige chini, unamtishia kumwacha. Sasa fanya hivyo kuwa kama hatakuambia neno. Nakupenda kila siku asubuhi humpi hiyo kitu. Ataelewa haja yako ni nini tu.
 
Ningeugua na kupondeka aisee. Usifanye mchezo na attention
Mi mpaka nimepata vidonda vya tumbo....jamaa anaweza pata safar ya masaa hata 10 akaanza safar hujui mpaka anafika badae ukimpigia ndio anakwambia nipo sehem fulan..... Unaugua cm zinapigwa za ndugu zako tu na mzazi wake ninamtihan kwakwel cjui nitaushindaje
 
Honestly tofauti yangu na mtoa mada kitu alikuwa anajua kusema ni 'Nakupenda', Ila kwingine kote ni Sifuri kubwa mbili, Nikitaka kuondoka hataki halafu kubadilika habadiliki, nimempa 2nd chances zaidi ya 100 buh still ana rise the same same person.!! Ako ana enjoy zake burooook huko aliko.!!😊😊
 
Pole sana C'ssy ila make sure unafanya maamuzi sahihi. Amani yako ya moyo ndiyo kitu cha muhimu zaidi.!
 
Miss you darling♥

Haki hii kitu inatesa acha kabisa, unajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe.
Inatesa sana anaweza post picha nikikoment hata umependeza mpenz anajibu ok!...
Kwenye birthday yake nilimuandalia cake ...zawadi birthday wish nzuri...ilipofika yangu hata habar hakua nayo alivyoona fb akaandika happy birthday madam. Imagine
 
Honestly tofauti yangu na mtoa mada kitu alikuwa anajua kusema ni 'Nakupenda', Ila kwingine kote ni Sifuri kubwa mbili, Nikitaka kuondoka hataki halafu kubadilika habadiliki, nimempa 2nd chances zaidi ya 100 buh still ana rise the same same person.!! Ako ana enjoy zake burooook huko aliko.!!😊😊
Haha et sifur 2
 
Pole sana C'ssy ila make sure unafanya maamuzi sahihi. Amani yako ya moyo ndiyo kitu cha muhimu zaidi.!
Moyo wangu unanituma nimuache tu Kwan naona kabisa mbelen uko nitaachana nae na watoto juu...shida Kila mtu anajua,, jamii nzima inajua wazazi wote Leo tukiwaita wazazi wake tuwarudishie mahar yake nikiulizwa sababu sizan kama watanielewa
 
Inatesa sana anaweza post picha nikikoment hata umependeza mpenz anajibu ok!...
Kwenye birthday yake nilimuandalia cake ...zawadi birthday wish nzuri...ilipofika yangu hata habar hakua nayo alivyoona fb akaandika happy birthday madam. Imagine
Wait!! Hivi umesema na mahari ashatoa na mnaishi pamoja!!!!

Nimeona ile thread yako ya awali, kama ni same person basi pole sana mama.
Nakushauri acha kutumia moyo zaidi kufanya maamuzi ya maisha yako, tumia akili sasa kabla haijawa too late.
 
Mila zetu wasukuma kumdekeza mke ni aibu kwa mwanaume. Mwanaume ukionwa unamwambia mkeo 'Nakupenda mke wangu' wazee wanakuita na kukwambia ushalishwa limbwata. Ile tabia ya wazenji wakiwa matembezini bibi na bwana na mtoto mdogo kabebwa na baba badala ya mama ukiifanya kijijini kwetu Ibutamisuzi lazima wazee wakupeleke kwa mganga wa kienyeji 'kukufungua' dhidi ya limbwata. Kwahiyo mama elewa tu kuwa kabila hili mila zao ni mfumo dume, hata ukimpendaje mkeo mpende kimoyomoyo tu sio kwa vitendo utachekwa.
 
Wait!! Hivi umesema na mahari ashatoa na mnaishi pamoja!!!!

Nimeona ile thread yako ya awali, kama ni same person basi pole sana mama.
Nakushauri acha kutumia moyo zaidi kufanya maamuzi ya maisha yako, tumia akili sasa kabla haijawa too late.
Nimeweza kumuacha kinachonishinda
1) nilimwambia mama ananiambia ulikua wapi mpaka mahari ametoa??? Mi naanzaje kuita wazee niwaambie mahari yenu chukueni sina sababu Mahal ashakula...
Ananishaur niache vitu vyangu nyumban then nikazae mtoto 1 tu niachane nae

2) ndugu, jamaa, marafik, majiran na jamii yote kwa ujumla na kanisan, jumuian wote nimeshaaga naondoka this week kwenda kwa mzee ebu pata picha inaniumiza pia kiakili
3) nilitafuta msaidiz wa kumuachia duka langu na ameshaanza na mwez 1 kwa madai Mimi naondoka namfata mzee namtoa kwa style gani???
Vitu hivi vinaniumiza nashindwa niamue lipi
 
Aliyeelewaa atufafanunulie kwa ufupii
Kifupi kabisa nikwamba
1. njemba haitaki kusema 'nakupenda'
2. Manzi yuko vizuri kifedha kuliko jamaa
3. Msela anatoka bush kinyama

Ni hayo tu mkuu!!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom