Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

Wanaume wengine hawako romantic mamy
Kweli hata mm nipo kama jamaa haimaanishi kuwa ckupend nikiwa Ivo ila naogopa kukushow love mingi sana maana nyie viumbe huwa hamueleweki ukipendwa sana mtu akawa nice boy kwako ndo unabadilika miluzi ming humpoteza Mbwa utalewa mapenzi nikifanya too much
 
Sometimes kuna watu wamekuwa "affected" na malezi yao udogoni. Kuna mtu "kujali" ni msamiati mkubwa sana kwake. Inawezekana amekulia kwenye familia ambayo baba hakuwa akimjali sana mama, so growing up na yeye anaona hayo ndo maisha yalivyo. Mtu mwingine hakupata upendo wa wazazi/walevi kihivyo as a result kumpenda mtu mwingine ni mtihani mkubwa sana, anakuwa mtu mbinafsi sana. Na mtu wa hivi unahitaji "kujikana"ili uishi naye, kwa sababu muda wote utajiona kama wewe ni option tu kwenye maisha yake; who wants to settle for less?
 
Miss you darling[emoji813]

Haki hii kitu inatesa acha kabisa, unajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe.
Miss you too swts.
Mwenzangu kuwe na utofauti wa kuwa single na ukiwa na baby. Mtu una baby ila upweke kama wote. Inahuu baby yupo ila siku nzima message iliyoingia ni ya "voda taarifa" tu. Shurti tudekezane, mapenzi ya ukauzu fyekelea mbali
Kwakweli huo ndio ugonjwa wetu.
 
Hata mimi mpenzi wangu huwa ananiomba walau nimwambie nampenda,analimiss sana hilo neno ila kutomwambia siyo kuwa simpendi nampenda sana.
 
Yaani kumbe tatizo ni attention. Hata mimi tusingewezana. Hizo mambo za attention siziwezagi kabisa. Hata kupiga simu sijui txt naweza pitisha hata wiki. Sasa wewe kwa nini usimzoeshe huo utaratibu wa kumsalimia kama unabvyohitaji mwisho wa siku atazoe. Na siku asipoona txt yako lazima atajiuliza kuna tatizo hivyo atakutafuta.
 
Mtu hasipo kutamkia kama anakupenda sio Ishu ,ishu kama mtu hakuoneshi upendo kwa vitendo hata ukijitoa kwake hajali,hata ukimwambia matatizo yako hajali,hajali hisia zako hakuoneshi upendo hicho kitu kinaumiza sana na huyo hata mkija ishi pamoja atakuwa hivyohvyo tena utakufanyia makubwa zaidi ya hayo kukaa kijijini sio ishu,huyo kiburi na dharau,
 
Yaani kumbe tatizo ni attention. Hata mimi tusingewezana. Hizo mambo za attention siziwezagi kabisa. Hata kupiga simu sijui txt naweza pitisha hata wiki. Sasa wewe kwa nini usimzoeshe huo utaratibu wa kumsalimia kama unabvyohitaji mwisho wa siku atazoe. Na siku asipoona txt yako lazima atajiuliza kuna tatizo hivyo atakutafuta.
Wenzio wanamjulia hali kutwa Mara tatu km dose ya panadol
 
Miss you too swts.
Mwenzangu kuwe na utofauti wa kuwa single na ukiwa na baby. Mtu una baby ila upweke kama wote. Inahuu baby yupo ila siku nzima message iliyoingia ni ya "voda taarifa" tu. Shurti tudekezane, mapenzi ya ukauzu fyekelea mbali
Sasa hapo hata raha ya mahusiano inatoka wapi si bora niwe single tu nijifariji mwenyewe.
 
Wenzio wanamjulia hali kutwa Mara tatu km dose ya panadol
Huo upuuzi ulinishinda. Nitajidanganya tu kama huyo wa mleta mada. Lakini nitajisahau tu. Lakini madili ya hela na washkaji huwa sisahau kabisa
 
Back
Top Bottom