Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

Yes inaumiza ila kipi bora? Ukaishi nae au uamue kuwa responsible sasa kwa makosa ulofanya awali? Ni chungu ila meza hivyohivyo, chungu ndio dawa.

Kuhusu mama yako daaah, ni mama mzazi kweli!!!!!!
 
Moyo wangu unanituma nimuache tu Kwan naona kabisa mbelen uko nitaachana nae na watoto juu...shida Kila mtu anajua,, jamii nzima inajua wazazi wote Leo tukiwaita wazazi wake tuwarudishie mahar yake nikiulizwa sababu sizan kama watanielewa
Hakuna kitu kibaya km kumshauri mtu mwenye mahusiano aachane na Mpz wake, ila ikifikia level kwamba you got no choice itabidi tu. Ww ndo muamuzi wa mwisho though!!
 
Wait!! Hivi umesema na mahari ashatoa na mnaishi pamoja!!!!

Nimeona ile thread yako ya awali, kama ni same person basi pole sana mama.
Nakushauri acha kutumia moyo zaidi kufanya maamuzi ya maisha yako, tumia akili sasa kabla haijawa too late.
Was about to tell her the same thing. Amekuwa na doubts/kuona red flags nyingi na huyu jamaa, but still she went ahead and got engaged to him. She is in denial, anajua kabisa hapo hakuna kitu ila maybe ndo anahofia umri au ndugu watamuelewaje au ndo "kumuacha" bado ni kazi nzito as we all know kutoka nje ya mahusiano kulivyo kazi. Angepambana akatoka kabla ya kuchumbiana, huku alipofika kutoka lazima kutakuwa na damage fulani ila ndo utakuwa uamuzi sahihi kwake. Sometimes the hardest thing and the right thing are the same. It's not too late though, otherwise ataamua "kudumu" katika huo uhusiano
 
Yani ukazae afu uachike? Complications ulizonazo tu hazitoshi hadi ukazihamishie kwa mtoto asiye na hatia? Achana naye kabla hamjapata mtoto, utakuwa umemtendea haki mwanao na utakuwa umejisaidia mwenyewe
 
Na atakapoamua hatohitaji ushauri tena.
 
Fanya maamuzi magumu kwaajili ya maisha yako. Hao wote uliowataja hawatakuja kukusaidia baadae ukiwa unateseka. Bado hujachelewa kabisa..mahari watajua wenyewe Kama vipi irudishwe..
 
Yani ukazae afu uachike? Complications ulizonazo tu hazitoshi hadi ukazihamishie kwa mtoto asiye na hatia? Achana naye kabla hamjapata mtoto, utakuwa umemtendea haki mwanao na utakuwa umejisaidia mwenyewe
Kwakweli hapo nimeshindwa kumuelewa huyo mama kabisaaa, sio kwa ushauri huo.
 
Anakupenda ila hajui m apenzi. Mpe ndundu party ya nguvu atabadilika.
 
Mpenda kupendwa na kuambiwa maneno matamu kama mimi ningeshajitoa.
 
Yani ukazae afu uachike? Complications ulizonazo tu hazitoshi hadi ukazihamishie kwa mtoto asiye na hatia? Achana naye kabla hamjapata mtoto, utakuwa umemtendea haki mwanao na utakuwa umejisaidia mwenyewe
Dada pasua kichwa on air![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Ni bora aachike tu, kama ni aibu itakuwa ya muda tu. Kuliko atake kuifurahisha jamii afu aishie kuharibu maisha yake.
Kwakweli hapo nimeshindwa kumuelewa huyo mama kabisaaa, sio kwa ushauri huo.
 
Kifupi kabisa nikwamba
1. njemba haitaki kusema 'nakupenda'
2. Manzi yuko vizuri kifedha kuliko jamaa
3. Msela anatoka bush kinyama

Ni hayo tu mkuu!!
Kaaziiii kweliiikweliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…