Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Yes inaumiza ila kipi bora? Ukaishi nae au uamue kuwa responsible sasa kwa makosa ulofanya awali? Ni chungu ila meza hivyohivyo, chungu ndio dawa.Nimeweza kumuacha kinachonishinda
1) nilimwambia mama ananiambia ulikua wapi mpaka mahari ametoa??? Mi naanzaje kuita wazee niwaambie mahari yenu chukueni sina sababu Mahal ashakula...
Ananishaur niache vitu vyangu nyumban then nikazae mtoto 1 tu niachane nae
2) ndugu, jamaa, marafik, majiran na jamii yote kwa ujumla na kanisan, jumuian wote nimeshaaga naondoka this week kwenda kwa mzee ebu pata picha inaniumiza pia kiakili
3) nilitafuta msaidiz wa kumuachia duka langu na ameshaanza na mwez 1 kwa madai Mimi naondoka namfata mzee namtoa kwa style gani???
Vitu hivi vinaniumiza nashindwa niamue lipi
Kuhusu mama yako daaah, ni mama mzazi kweli!!!!!!