Msaada: Mwanaume ninayeishi naye haoneshi kunipenda na hataki tuachane

Ukiumwa hayo uliyotaja hadi kulazwa jua tatizo ni kubwa
Khaaa.... Mimi napitisha siku mbili...Nisipopigiwa basi hadi niwe na ujumbe.

Na naona kawaida..kupigiana kila dakika kusumbuana. Sio mwanamke tu hata wazazi walionizaa.
Three times kwa siku mbona chache jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I hope mko poa guys

Naitaji ushauri hapa serious kabisa

Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja

Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi katika kampuni fulani nilifanya kazi ndani ya miezi minne nilikutana na kaka ana 33 kwa a

Huyu Kaka nilimpenda sana alikuwa mtu fulan mpole hana Mambo ya ajabu ukweli nilitokea tu kuvutiwa nae. Nikafanya juhudi tukawa marafiki wa karibu, kusaidiana mambo mbalimbali haikupita muda tukawa tumeanza mahusiano ya kimapenzi

Uzuri jamaa alikuwa hayupo katika mahusiano serious, alikua na mwanamke ambae walikua hawafahamiani aliunganishiwa na jamaa tu so wakawa na mapenzi ya kwenye simu

Baada ya miezi 6 jamaa akanipeleka kwao kunitambulisha ilikua Desemba mwaka jana, Februaru mwaka huu alihamishwa mkoa mwingine kikazi nami nikaacha pale nikaanza biashara zangu binafsi. March akaja nyumbani kwetu kujitambulisha, Juni kupanga na kutoa mahari.

Oktoba Wazazi pande zote mbili walikutana kupanga mambo ya ndoa, wazazi wake wakaomba tuchukuane tu kwa sasa hawana uwezo tutafunga ndoa mwaka kesho. Hii ni sawa kwa jamii ya wasukuma wa kijijin kwani huamini ukishamtolea mahari mwanamke tayari wanakuja kumchukua. Familia yangu ikakubali

Kilichonileta kwenu

Baada ya kukaa kiuchumba na jamaa nilikua nahisi hanipendi tangu kabla hajanipeleka kwao nikawa najiondoa kwake ajabu nikikaa nae nikimwambia tuachane hakubali kabisa anaweza hata jitupa chini akibembeleza nisimuache

Nikimuangalia ni mtu ambae haoneshi kama ananipenda anaweza kaa siku 1 au 2 bila kunipigia. Ninaweza pata shida kunisaidia akawa mzito mno. Ni mtu ambaye hajali unaumwa, umepata matatizo unaishi vipi haelewi

Mwanzo nilihisi labda anamahusiano mengine lakini nilifanya uchunguzi sikubaini hicho. Mi nampenda najikuta naumia nahitaji kupata attention yake, muda wake, nilishaongea nae sana. Ni mtu ambae hata kuniambia nakupenda au nimekumiss au kuniita tu mpenzi wangu ni ngumu labda muwe kitandani kapandwa na hisia anaweza fanya hivyo au muwe mna ugomvi anakubembeleza au ndio mmeelewana

Atafanya hivyo for 2 days then anarudi katika hali yake

Nilishaongea nae kama hanipendi nimeshamuomba aniache niumie badae nitazoea hataki. Kuna kipindi nilimwambia aniache tu atafute mwanamke anaempenda na nikamchunia kweli

Aliteseka sana alinitafutia washauri sio ndugu zake, rafiki zake na zangu. Nashindwa kuelewa nitaishije na huyu mtu jamani. Sielewi ni maumbile yake yuko hivi, makuzi au tu hanipendi!

Amekulia kijijini hasa tena hasa nashindwa kuelewa labda ndivyo alivyo. Nawaza labda yupo kwangu kimaisha tu sababu yeye ana kazi nzuri mshahara mkubwa lakini familia ya kwao inamuelemea ukoo mzima unamtegemea yeye

Mimi kipato changu kidogo kwake lakini nina maendeleo kidogo namzidi na ninafanya vitu vya msingi. Nahisi labda jamaa amefata maisha!

Wadau samahani kwa kuwachosha naombeni mawazo yenu
Kosa kubwa wanawake mnadhani nyie kwenye mahusiano kazi yenu ni kutoa papuchi tu...sasa iwe hivi
1...akiwa hakupigii simu chukua hatua mpigie wewe...mapenzi ni ya wawili sio mmoja
2...shida kila mtu anazo usiwe unamjazia mishida yako yoooooote mpaka anakinai kukusaidia
3...wewe kama mwanamke una nafasi zaidi ya kutoa papuchi...itafute hyo nafasi uijaze
 
Duuh! Mbona wanawake mnapenda sana attention,katika vitu vilivyonikalia mbali ni kumwambia mtu nakupenda,nimekumiss,sijui free kiss..oooy! hyo mambo mm siwezi aisee acha nitafute pesa!

Kama nakupenda nakupenda tu na kama sikupendi ata nikuambie nakupenda mara3000 kwa siku still hlo neno haliwezi badili kitu.
 
Tatizo wewe ni mjanja kuliko yeye,na unachotaka attention yake pengine unataka akupatie mshahara wake. Unaweza kumuonyesha upendo wako, kwani wewe umefanya nini kuonyesha pendo lako kwake?!! Au maneno tuu.
 
I hope mko poa guys

Naitaji ushauri hapa serious kabisa

Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja

Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi katika kampuni fulani nilifanya kazi ndani ya miezi minne nilikutana na kaka ana 33 kwa a

Huyu Kaka nilimpenda sana alikuwa mtu fulan mpole hana Mambo ya ajabu ukweli nilitokea tu kuvutiwa nae. Nikafanya juhudi tukawa marafiki wa karibu, kusaidiana mambo mbalimbali haikupita muda tukawa tumeanza mahusiano ya kimapenzi

Uzuri jamaa alikuwa hayupo katika mahusiano serious, alikua na mwanamke ambae walikua hawafahamiani aliunganishiwa na jamaa tu so wakawa na mapenzi ya kwenye simu

Baada ya miezi 6 jamaa akanipeleka kwao kunitambulisha ilikua Desemba mwaka jana, Februaru mwaka huu alihamishwa mkoa mwingine kikazi nami nikaacha pale nikaanza biashara zangu binafsi. March akaja nyumbani kwetu kujitambulisha, Juni kupanga na kutoa mahari.

Oktoba Wazazi pande zote mbili walikutana kupanga mambo ya ndoa, wazazi wake wakaomba tuchukuane tu kwa sasa hawana uwezo tutafunga ndoa mwaka kesho. Hii ni sawa kwa jamii ya wasukuma wa kijijin kwani huamini ukishamtolea mahari mwanamke tayari wanakuja kumchukua. Familia yangu ikakubali

Kilichonileta kwenu

Baada ya kukaa kiuchumba na jamaa nilikua nahisi hanipendi tangu kabla hajanipeleka kwao nikawa najiondoa kwake ajabu nikikaa nae nikimwambia tuachane hakubali kabisa anaweza hata jitupa chini akibembeleza nisimuache

Nikimuangalia ni mtu ambae haoneshi kama ananipenda anaweza kaa siku 1 au 2 bila kunipigia. Ninaweza pata shida kunisaidia akawa mzito mno. Ni mtu ambaye hajali unaumwa, umepata matatizo unaishi vipi haelewi

Mwanzo nilihisi labda anamahusiano mengine lakini nilifanya uchunguzi sikubaini hicho. Mi nampenda najikuta naumia nahitaji kupata attention yake, muda wake, nilishaongea nae sana. Ni mtu ambae hata kuniambia nakupenda au nimekumiss au kuniita tu mpenzi wangu ni ngumu labda muwe kitandani kapandwa na hisia anaweza fanya hivyo au muwe mna ugomvi anakubembeleza au ndio mmeelewana

Atafanya hivyo for 2 days then anarudi katika hali yake

Nilishaongea nae kama hanipendi nimeshamuomba aniache niumie badae nitazoea hataki. Kuna kipindi nilimwambia aniache tu atafute mwanamke anaempenda na nikamchunia kweli

Aliteseka sana alinitafutia washauri sio ndugu zake, rafiki zake na zangu. Nashindwa kuelewa nitaishije na huyu mtu jamani. Sielewi ni maumbile yake yuko hivi, makuzi au tu hanipendi!

Amekulia kijijini hasa tena hasa nashindwa kuelewa labda ndivyo alivyo. Nawaza labda yupo kwangu kimaisha tu sababu yeye ana kazi nzuri mshahara mkubwa lakini familia ya kwao inamuelemea ukoo mzima unamtegemea yeye

Mimi kipato changu kidogo kwake lakini nina maendeleo kidogo namzidi na ninafanya vitu vya msingi. Nahisi labda jamaa amefata maisha!

Wadau samahani kwa kuwachosha naombeni mawazo yenu
Tangia lini msukuma akawa romantic!?wasukuma washazoea kusukumana tu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hahaha, kuna watu kulitamka hilo neno nakupenda ni mzigo mkubwa sana.

At this old age sikumbuki nimewatamkia wangapi, ila ni kati ya misamiati sina, labda kama nasoma script.

Wachana na maneno na matendo yako vipi?
 
I hope mko poa guys

Naitaji ushauri hapa serious kabisa

Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja

Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi katika kampuni fulani nilifanya kazi ndani ya miezi minne nilikutana na kaka ana 33 kwa a

Huyu Kaka nilimpenda sana alikuwa mtu fulan mpole hana Mambo ya ajabu ukweli nilitokea tu kuvutiwa nae. Nikafanya juhudi tukawa marafiki wa karibu, kusaidiana mambo mbalimbali haikupita muda tukawa tumeanza mahusiano ya kimapenzi

Uzuri jamaa alikuwa hayupo katika mahusiano serious, alikua na mwanamke ambae walikua hawafahamiani aliunganishiwa na jamaa tu so wakawa na mapenzi ya kwenye simu

Baada ya miezi 6 jamaa akanipeleka kwao kunitambulisha ilikua Desemba mwaka jana, Februaru mwaka huu alihamishwa mkoa mwingine kikazi nami nikaacha pale nikaanza biashara zangu binafsi. March akaja nyumbani kwetu kujitambulisha, Juni kupanga na kutoa mahari.

Oktoba Wazazi pande zote mbili walikutana kupanga mambo ya ndoa, wazazi wake wakaomba tuchukuane tu kwa sasa hawana uwezo tutafunga ndoa mwaka kesho. Hii ni sawa kwa jamii ya wasukuma wa kijijin kwani huamini ukishamtolea mahari mwanamke tayari wanakuja kumchukua. Familia yangu ikakubali

Kilichonileta kwenu

Baada ya kukaa kiuchumba na jamaa nilikua nahisi hanipendi tangu kabla hajanipeleka kwao nikawa najiondoa kwake ajabu nikikaa nae nikimwambia tuachane hakubali kabisa anaweza hata jitupa chini akibembeleza nisimuache

Nikimuangalia ni mtu ambae haoneshi kama ananipenda anaweza kaa siku 1 au 2 bila kunipigia. Ninaweza pata shida kunisaidia akawa mzito mno. Ni mtu ambaye hajali unaumwa, umepata matatizo unaishi vipi haelewi

Mwanzo nilihisi labda anamahusiano mengine lakini nilifanya uchunguzi sikubaini hicho. Mi nampenda najikuta naumia nahitaji kupata attention yake, muda wake, nilishaongea nae sana. Ni mtu ambae hata kuniambia nakupenda au nimekumiss au kuniita tu mpenzi wangu ni ngumu labda muwe kitandani kapandwa na hisia anaweza fanya hivyo au muwe mna ugomvi anakubembeleza au ndio mmeelewana

Atafanya hivyo for 2 days then anarudi katika hali yake

Nilishaongea nae kama hanipendi nimeshamuomba aniache niumie badae nitazoea hataki. Kuna kipindi nilimwambia aniache tu atafute mwanamke anaempenda na nikamchunia kweli

Aliteseka sana alinitafutia washauri sio ndugu zake, rafiki zake na zangu. Nashindwa kuelewa nitaishije na huyu mtu jamani. Sielewi ni maumbile yake yuko hivi, makuzi au tu hanipendi!

Amekulia kijijini hasa tena hasa nashindwa kuelewa labda ndivyo alivyo. Nawaza labda yupo kwangu kimaisha tu sababu yeye ana kazi nzuri mshahara mkubwa lakini familia ya kwao inamuelemea ukoo mzima unamtegemea yeye

Mimi kipato changu kidogo kwake lakini nina maendeleo kidogo namzidi na ninafanya vitu vya msingi. Nahisi labda jamaa amefata maisha!

Wadau samahani kwa kuwachosha naombeni mawazo yenu
Huyo jamaa yako Kwnza sio romantic ni mgeni wa mambo hayo
Pili inaweza kuw alishaumizwa na mtu hvyo element za upendo zilishapotea kabisa
Yeyee anakuhitaji ila Hana uprndo Moyoni na hii hutokea kw mwanaume pale anapotendwa na kuumizwa sna Hujikuta moyo wake hauna hisia ya kupenda japo japo kimaisha anahitaji kuw na mtu
Mtu ambaye hana hisia za upendo kusema neno NAKUPENDA huw ni ngumu sna
Mpeleke taratiib atazoea na atkupenda
 
[QUOTjamaa ady in action, post: 29555933, member: 205098"]I hope mko poa guys

Naitaji ushauri hapa serious kabisa

Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja

Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi katika kampuni fulani nilifanya kazi ndani ya miezi minne nilikutana na kaka ana 33 kwa a

Huyu Kaka nilimpenda sana alikuwa mtu fulan mpole hana Mambo ya ajabu ukweli nilitokea tu kuvutiwa nae. Nikafanya juhudi tukawa marafiki wa karibu, kusaidiana mambo mbalimbali haikupita muda tukawa tumeanza mahusiano ya kimapenzi

Uzuri jamaa alikuwa hayupo katika mahusiano serious, alikua na mwanamke ambae walikua hawafahamiani aliunganishiwa na jamaa tu so wakawa na mapenzi ya kwenye simu

Baada ya miezi 6 jamaa akanipeleka kwao kunitambulisha ilikua Desemba mwaka jana, Februaru mwaka huu alihamishwa mkoa mwingine kikazi nami nikaacha pale nikaanza biashara zangu binafsi. March akaja nyumbani kwetu kujitambulisha, Juni kupanga na kutoa mahari.

Oktoba Wazazi pande zote mbili walikutana kupanga mambo ya ndoa, wazazi wake wakaomba tuchukuane tu kwa sasa hawana uwezo tutafunga ndoa mwaka kesho. Hii ni sawa kwa jamii ya wasukuma wa kijijin kwani huamini ukishamtolea mahari mwanamke tayari wanakuja kumchukua. Familia yangu ikakubali

Kilichonileta kwenu

Baada ya kukaa kiuchumba na jamaa nilikua nahisi hanipendi tangu kabla hajanipeleka kwao nikawa najiondoa kwake ajabu nikikaa nae nikimwambia tuachane hakubali kabisa anaweza hata jitupa chini akibembeleza nisimuache

Nikimuangalia ni mtu ambae haoneshi kama ananipenda anaweza kaa siku 1 au 2 bila kunipigia. Ninaweza pata shida kunisaidia akawa mzito mno. Ni mtu ambaye hajali unaumwa, umepata matatizo unaishi vipi haelewi

Mwanzo nilihisi labda anamahusiano mengine lakini nilifanya uchunguzi sikubaini hicho. Mi nampenda najikuta naumia nahitaji kupata attention yake, muda wake, nilishaongea nae sana. Ni mtu ambae hata kuniambia nakupenda au nimekumiss au kuniita tu mpenzi wangu ni ngumu labda muwe kitandani kapandwa na hisia anaweza fanya hivyo au muwe mna ugomvi anakubembeleza au ndio mmeelewana

Atafanya hivyo for 2 days then anarudi katika hali yake

Nilishaongea nae kama hanipendi nimeshamuomba aniache niumie badae nitazoea hataki. Kuna kipindi nilimwambia aniache tu atafute mwanamke anaempenda na nikamchunia kweli

Aliteseka sana alinitafutia washauri sio ndugu zake, rafiki zake na zangu. Nashindwa kuelewa nitaishije na huyu mtu jamani. Sielewi ni maumbile yake yuko hivi, makuzi au tu hanipendi!

Amekulia kijijini hasa tena hasa nashindwa kuelewa labda ndivyo alivyo. Nawaza labda yupo kwangu kimaisha tu sababu yeye ana kazi nzuri mshahara mkubwa lakini familia ya kwao inamuelemea ukoo mzima unamtegemea yeye

Mimi kipato changu kidogo kwake lakini nina maendeleo kidogo namzidi na ninafanya vitu vya msingi. Nahisi labda jamaa amefata maisha!

Wadau samahani kwa kuwachosha naombeni mawazo yenu[/QUOTE]
Huyo jamaa Kuna vipengele tunafanana! Kimsingi anakuhitaji lkn hakupendi! Na suala la kutonyesha attention ni suala kisaikolojia zaidi,so ni wewe kuamua kumpa nafasi au kuchukua njia nyingine!
 
Tatizo hisia! Anakuhitaji Lakini hakupendi! Na maneno hayo ya kimahaba unayoyahitaji kutoka kwake anaona ni maneno mazito mno yasiyotakiwa kutamkwa kila mara!!
 
Tatizo unataka mapenzi ya tamthilia Mbele ya msukuma halisi. Utaumia sana mdogo wangu sio wote anaangalia luninga na kuiga wengine ni ubaba kwa kwenda Mbele. Huyo anakupenda lkn wewe unataka mapenzi ya Dar wakati mwenzio msukuma halisi
 
Jamaa kauzu,,
Kwa marefu na mapana uliyoyaongea nakushauri hivi.
Huyo jamaa ni wale wanaoendana na mfumo dume.
Vitu km hivyo unavyotaka yeye afanye anaona ni udhaifu sana kwa upande wake!
Inawezekana anajua au kutokujua ukichangia na ushamba wake.
Mtu wa hivyo huwa harekebishiki iwe leo au milele.
Uamuz ni wako uendelee nae au uende kwa mwingine pasua kichwa kama huyo.
Ila utaweza kumueka sawa kwa mbinu moja tu ambayo ni ngumu kidogo ila italeta matokeo flani.
Mchunie hata akipiga sim ongea nae inshort meseji mjibu kimkato.usimpigie hd ye apige fanya hivyo hadi ifike sehemu uone ana muelekeo kidogo na wee.
Usimbembeleze wala kumuonyeshea udhaifu wako wa kumhitaji.jikaze hapo kidogo atakuwa kwenye rite track
 
I hope mko poa guys

Naitaji ushauri hapa serious kabisa

Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja

Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi katika kampuni fulani nilifanya kazi ndani ya miezi minne nilikutana na kaka ana 33 kwa a

Huyu Kaka nilimpenda sana alikuwa mtu fulan mpole hana Mambo ya ajabu ukweli nilitokea tu kuvutiwa nae. Nikafanya juhudi tukawa marafiki wa karibu, kusaidiana mambo mbalimbali haikupita muda tukawa tumeanza mahusiano ya kimapenzi

Uzuri jamaa alikuwa hayupo katika mahusiano serious, alikua na mwanamke ambae walikua hawafahamiani aliunganishiwa na jamaa tu so wakawa na mapenzi ya kwenye simu

Baada ya miezi 6 jamaa akanipeleka kwao kunitambulisha ilikua Desemba mwaka jana, Februaru mwaka huu alihamishwa mkoa mwingine kikazi nami nikaacha pale nikaanza biashara zangu binafsi. March akaja nyumbani kwetu kujitambulisha, Juni kupanga na kutoa mahari.

Oktoba Wazazi pande zote mbili walikutana kupanga mambo ya ndoa, wazazi wake wakaomba tuchukuane tu kwa sasa hawana uwezo tutafunga ndoa mwaka kesho. Hii ni sawa kwa jamii ya wasukuma wa kijijin kwani huamini ukishamtolea mahari mwanamke tayari wanakuja kumchukua. Familia yangu ikakubali

Kilichonileta kwenu

Baada ya kukaa kiuchumba na jamaa nilikua nahisi hanipendi tangu kabla hajanipeleka kwao nikawa najiondoa kwake ajabu nikikaa nae nikimwambia tuachane hakubali kabisa anaweza hata jitupa chini akibembeleza nisimuache

Nikimuangalia ni mtu ambae haoneshi kama ananipenda anaweza kaa siku 1 au 2 bila kunipigia. Ninaweza pata shida kunisaidia akawa mzito mno. Ni mtu ambaye hajali unaumwa, umepata matatizo unaishi vipi haelewi

Mwanzo nilihisi labda anamahusiano mengine lakini nilifanya uchunguzi sikubaini hicho. Mi nampenda najikuta naumia nahitaji kupata attention yake, muda wake, nilishaongea nae sana. Ni mtu ambae hata kuniambia nakupenda au nimekumiss au kuniita tu mpenzi wangu ni ngumu labda muwe kitandani kapandwa na hisia anaweza fanya hivyo au muwe mna ugomvi anakubembeleza au ndio mmeelewana

Atafanya hivyo for 2 days then anarudi katika hali yake

Nilishaongea nae kama hanipendi nimeshamuomba aniache niumie badae nitazoea hataki. Kuna kipindi nilimwambia aniache tu atafute mwanamke anaempenda na nikamchunia kweli

Aliteseka sana alinitafutia washauri sio ndugu zake, rafiki zake na zangu. Nashindwa kuelewa nitaishije na huyu mtu jamani. Sielewi ni maumbile yake yuko hivi, makuzi au tu hanipendi!

Amekulia kijijini hasa tena hasa nashindwa kuelewa labda ndivyo alivyo. Nawaza labda yupo kwangu kimaisha tu sababu yeye ana kazi nzuri mshahara mkubwa lakini familia ya kwao inamuelemea ukoo mzima unamtegemea yeye

Mimi kipato changu kidogo kwake lakini nina maendeleo kidogo namzidi na ninafanya vitu vya msingi. Nahisi labda jamaa amefata maisha!

Wadau samahani kwa kuwachosha naombeni mawazo yenu
Maisha magumu sana
 
Ukiona mwanaume au mwanamke anatamka kiholera neno nakupenda kirahisi rahisi tu Jua mmekutana wote ma Players
😁
 
Ngumu kumeza japo hata mtoto huna ukipata wa kwanza tu ndoa chali.
Wanawake ukiona mwanaume hana tabia unazozitaka kimbia kama mshale. U can't change a man. Sasa ukisubiri eti akupe ruhusa yeye kua sawa tuachane ndo usepe pole. Mwanaume unamfumania na bado kukupa talaka huwa hawataki. Anahama Nyumba anakuacha na watoto ukimuambia tuachane bado atakwambia nakupenda sana mke wangu. Alokwambia wa kijijini hawajui kubembeleza nani? Akili kichwa ni kwako.
 
kwenye kampuni miezi 4 tu ukaanza ngono? ndio maana hakupendi huyu kaka, anajutia kuwa na wewe mara anakuonea huruma only miezi 4?

I hope mko poa guys

Naitaji ushauri hapa serious kabisa

Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja

Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi katika kampuni fulani nilifanya kazi ndani ya miezi minne nilikutana na kaka ana 33 kwa a

Huyu Kaka nilimpenda sana alikuwa mtu fulan mpole hana Mambo ya ajabu ukweli nilitokea tu kuvutiwa nae. Nikafanya juhudi tukawa marafiki wa karibu, kusaidiana mambo mbalimbali haikupita muda tukawa tumeanza mahusiano ya kimapenzi

Uzuri jamaa alikuwa hayupo katika mahusiano serious, alikua na mwanamke ambae walikua hawafahamiani aliunganishiwa na jamaa tu so wakawa na mapenzi ya kwenye simu

Baada ya miezi 6 jamaa akanipeleka kwao kunitambulisha ilikua Desemba mwaka jana, Februaru mwaka huu alihamishwa mkoa mwingine kikazi nami nikaacha pale nikaanza biashara zangu binafsi. March akaja nyumbani kwetu kujitambulisha, Juni kupanga na kutoa mahari.

Oktoba Wazazi pande zote mbili walikutana kupanga mambo ya ndoa, wazazi wake wakaomba tuchukuane tu kwa sasa hawana uwezo tutafunga ndoa mwaka kesho. Hii ni sawa kwa jamii ya wasukuma wa kijijin kwani huamini ukishamtolea mahari mwanamke tayari wanakuja kumchukua. Familia yangu ikakubali

Kilichonileta kwenu

Baada ya kukaa kiuchumba na jamaa nilikua nahisi hanipendi tangu kabla hajanipeleka kwao nikawa najiondoa kwake ajabu nikikaa nae nikimwambia tuachane hakubali kabisa anaweza hata jitupa chini akibembeleza nisimuache

Nikimuangalia ni mtu ambae haoneshi kama ananipenda anaweza kaa siku 1 au 2 bila kunipigia. Ninaweza pata shida kunisaidia akawa mzito mno. Ni mtu ambaye hajali unaumwa, umepata matatizo unaishi vipi haelewi

Mwanzo nilihisi labda anamahusiano mengine lakini nilifanya uchunguzi sikubaini hicho. Mi nampenda najikuta naumia nahitaji kupata attention yake, muda wake, nilishaongea nae sana. Ni mtu ambae hata kuniambia nakupenda au nimekumiss au kuniita tu mpenzi wangu ni ngumu labda muwe kitandani kapandwa na hisia anaweza fanya hivyo au muwe mna ugomvi anakubembeleza au ndio mmeelewana

Atafanya hivyo for 2 days then anarudi katika hali yake

Nilishaongea nae kama hanipendi nimeshamuomba aniache niumie badae nitazoea hataki. Kuna kipindi nilimwambia aniache tu atafute mwanamke anaempenda na nikamchunia kweli

Aliteseka sana alinitafutia washauri sio ndugu zake, rafiki zake na zangu. Nashindwa kuelewa nitaishije na huyu mtu jamani. Sielewi ni maumbile yake yuko hivi, makuzi au tu hanipendi!

Amekulia kijijini hasa tena hasa nashindwa kuelewa labda ndivyo alivyo. Nawaza labda yupo kwangu kimaisha tu sababu yeye ana kazi nzuri mshahara mkubwa lakini familia ya kwao inamuelemea ukoo mzima unamtegemea yeye

Mimi kipato changu kidogo kwake lakini nina maendeleo kidogo namzidi na ninafanya vitu vya msingi. Nahisi labda jamaa amefata maisha!

Wadau samahani kwa kuwachosha naombeni mawazo yenu
 
I hope mko poa guys

Naitaji ushauri hapa serious kabisa

Mimi ni mwanamke nina miaka 30 nina mchumba ambaye wazazi walishatupa ruhusa ya kuishi pamoja

Mwaka 2016 nilipata kazi ya muda mfupi katika kampuni fulani nilifanya kazi ndani ya miezi minne nilikutana na kaka ana 33 kwa a

Huyu Kaka nilimpenda sana alikuwa mtu fulan mpole hana Mambo ya ajabu ukweli nilitokea tu kuvutiwa nae. Nikafanya juhudi tukawa marafiki wa karibu, kusaidiana mambo mbalimbali haikupita muda tukawa tumeanza mahusiano ya kimapenzi

Uzuri jamaa alikuwa hayupo katika mahusiano serious, alikua na mwanamke ambae walikua hawafahamiani aliunganishiwa na jamaa tu so wakawa na mapenzi ya kwenye simu

Baada ya miezi 6 jamaa akanipeleka kwao kunitambulisha ilikua Desemba mwaka jana, Februaru mwaka huu alihamishwa mkoa mwingine kikazi nami nikaacha pale nikaanza biashara zangu binafsi. March akaja nyumbani kwetu kujitambulisha, Juni kupanga na kutoa mahari.

Oktoba Wazazi pande zote mbili walikutana kupanga mambo ya ndoa, wazazi wake wakaomba tuchukuane tu kwa sasa hawana uwezo tutafunga ndoa mwaka kesho. Hii ni sawa kwa jamii ya wasukuma wa kijijin kwani huamini ukishamtolea mahari mwanamke tayari wanakuja kumchukua. Familia yangu ikakubali

Kilichonileta kwenu

Baada ya kukaa kiuchumba na jamaa nilikua nahisi hanipendi tangu kabla hajanipeleka kwao nikawa najiondoa kwake ajabu nikikaa nae nikimwambia tuachane hakubali kabisa anaweza hata jitupa chini akibembeleza nisimuache

Nikimuangalia ni mtu ambae haoneshi kama ananipenda anaweza kaa siku 1 au 2 bila kunipigia. Ninaweza pata shida kunisaidia akawa mzito mno. Ni mtu ambaye hajali unaumwa, umepata matatizo unaishi vipi haelewi

Mwanzo nilihisi labda anamahusiano mengine lakini nilifanya uchunguzi sikubaini hicho. Mi nampenda najikuta naumia nahitaji kupata attention yake, muda wake, nilishaongea nae sana. Ni mtu ambae hata kuniambia nakupenda au nimekumiss au kuniita tu mpenzi wangu ni ngumu labda muwe kitandani kapandwa na hisia anaweza fanya hivyo au muwe mna ugomvi anakubembeleza au ndio mmeelewana

Atafanya hivyo for 2 days then anarudi katika hali yake

Nilishaongea nae kama hanipendi nimeshamuomba aniache niumie badae nitazoea hataki. Kuna kipindi nilimwambia aniache tu atafute mwanamke anaempenda na nikamchunia kweli

Aliteseka sana alinitafutia washauri sio ndugu zake, rafiki zake na zangu. Nashindwa kuelewa nitaishije na huyu mtu jamani. Sielewi ni maumbile yake yuko hivi, makuzi au tu hanipendi!

Amekulia kijijini hasa tena hasa nashindwa kuelewa labda ndivyo alivyo. Nawaza labda yupo kwangu kimaisha tu sababu yeye ana kazi nzuri mshahara mkubwa lakini familia ya kwao inamuelemea ukoo mzima unamtegemea yeye

Mimi kipato changu kidogo kwake lakini nina maendeleo kidogo namzidi na ninafanya vitu vya msingi. Nahisi labda jamaa amefata maisha!

Wadau samahani kwa kuwachosha naombeni mawazo yenu
WEWE HUNA AKIRI!
inawezekana jamaa, anawaza kupata mwanamke mswahili, mtu hana mwanamke, anakupa gemu, na anasisitiza msiachane, wewe unataka nini sasa? kwani amesema anataka akuache? wanawake wengine kama mbuzi yaani! wewe unatafuta nini na unataka nini? eti mimi nimemzidi maendeleo! kwanza wewe ndio unashida hapo! mwanamke wa hasara wewe!
 
Kiuchum yuko vzur lkn nikimtolea hata shida anajifikiria Sana kunisaidia.....Kuna kipindi tulienda nae kufanya shipping ,,,alinunua vitu vyake,,, mama yake,,, mdogo ake,,, mi niliambulia kiatu Cha elf 10. Kati ya lak 4

Kuna kipindi cm yangu ilisumbua nikamuomba yake ambayo alikua haitumii akadai inamambo mengi mwez uliofata akamuomba mdogo ake akampa
nililazwa Kama 1wk hv alipo mpaka kufika nauli elf 6 lkn hakuja alikua anapiga cm tu hata elf 10 tu niongezee matibabu hakuna....akipiga cm anashaur jitahid ule matunda na juice hata elf 5 ya matunda hamna
Mhmhm....!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom