Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Khaaa.... Mimi napitisha siku mbili...Nisipopigiwa basi hadi niwe na ujumbe.Ukiumwa hayo uliyotaja hadi kulazwa jua tatizo ni kubwa
Na naona kawaida..kupigiana kila dakika kusumbuana. Sio mwanamke tu hata wazazi walionizaa.
Three times kwa siku mbona chache jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]